Sukari ya Zanzibar ina kidoti cheusi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Zanzibar ni watumiaji wazuri Wa sukari pengine kuliko bara, hivi Zanzibar wanazalisha sukari nyingi sana wasioweza kuinywa wenyewe ikaisha kiasi cha kulilia iletwe bara kuuzwa?

Au kuna sababu nyingine nyuma ya pazia kuhusu sukari hiyo? Isije ikawa chambo cha kuingiza sukari ya Brazil kupitia wafanyabiashara wajanja. Bara watajuaje kama sukari yote imezalishwa Zanzibar? Kuna bandari bubu nyingi sana za bidhaa zinazoingizwa visivyo kutoka Zanzibar.
 
Kwanza sukari ya zanzibar haina kiwangi kabisa ukinunua ukaweka ndani inayyuka yenyewe. wasituletee kabisa huku
 
Hilo nalo neno
 
SIJ

Aliyeelewa uhusiano kati ya heading na content anieleweshe tafadhali
 
Mshazowea tu ila dawa yenu iko jikoni watanganyika mnaoichukia zanzibat yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…