ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 683
Unafiki wa Watanzania ndio hapa, hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko. Vitu vimepanda bei zaidi ya mara tatu ya enzi za Magufuli ila watu kimyaa!
Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi.
Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari!