Huwezi kuzikia tena MACHAWA wamekuwa wengi kila nyanja waandishi wote wa habari TV nk.wote ni MACHAWAUnafiki wa watanzania ndio hapa..hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko...vitu vimepanda bei zaid ya mara tatu ya enzi za magufuli ila watu kimyaa..
Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu
Na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi... Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari
Unafiki wa watanzania ndio hapa..hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko...vitu vimepanda bei zaid ya mara tatu ya enzi za magufuli ila watu kimyaa..
Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu
Na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi... Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari
Hahaha braza sukari ni kakiungo muhimu sana kwenye vitu vingi...ila kiujumla vitu vimepanda bei sana yaani sanaSukari toka kipindi cha Magu bei yake ndio hio hio tu,
Btw, kati ya kitu ambacho waTz huwa wanalalamika kikipanda bei na huwa siwaelewi ni sukari πππππ
Waliokuwa wanaratibu kumpigia kelele Magufuli ndiyo hao wanaopandisha bei za vitu sasa....Unafiki wa watanzania ndio hapa..hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko...vitu vimepanda bei zaid ya mara tatu ya enzi za magufuli ila watu kimyaa..
Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu
Na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi... Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari
Umegundua kwa kuchelewa sana watanzania ni wanafik sana zile kelele zilikuwa za wezi na wenye vyeti fyekiUnafiki wa watanzania ndio hapa..hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko...vitu vimepanda bei zaid ya mara tatu ya enzi za magufuli ila watu kimyaa..
Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu
Na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi... Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari
Vitu gani bana, kwenye chai na juice na keki au πππHahaha braza sukari ni kakiungo muhimu sana kwenye vitu vingi...ila kiujumla vitu vimepanda bei sana yaani sana
Acha uongo bei imepanda toka 2800 mpaka 3500Sukari toka kipindi cha Magu bei yake ndio hio hio tu,
Btw, kati ya kitu ambacho waTz huwa wanalalamika kikipanda bei na huwa siwaelewi ni sukari πππππ
Huelewi sababu we 1kg unatumia mwezi mzima.. huna tumizi na sukariSukari toka kipindi cha Magu bei yake ndio hio hio tu,
Btw, kati ya kitu ambacho waTz huwa wanalalamika kikipanda bei na huwa siwaelewi ni sukari πππππ
Naweza kukaa mwaka mzima bila kutumia sukari na hakuna nitakachopotezaSukari toka kipindi cha Magu bei yake ndio hio hio tu,
Btw, kati ya kitu ambacho waTz huwa wanalalamika kikipanda bei na huwa siwaelewi ni sukari πππππ
Labda kama unaitumia kibiasharaHuelewi sababu we 1kg unatumia mwezi mzima.. huna tumizi na sukari
Waache wanaotumia sukari kwenye shughuli zao za kila siku walalamike
Kiungo muhimu kwenye nini?Hahaha braza sukari ni kakiungo muhimu sana kwenye vitu vingi...ila kiujumla vitu vimepanda bei sana yaani sana
Asali ni ghali kuliko sukariKunywa chai ni ANASA.
na
Kama sukari imepanda bei tumieni asali
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Nani? Samia?Waliokuwa wanaratibu kumpigia kelele Magufuli ndiyo hao wanaopandisha bei za vitu sasa....