Kwakweli wakenya wapo kwenye mikono salama ya free press. Sisi hatujui na hatutajua, maabara zinazotakiwa kupima ndo hizo zina 'kirimino' tutamwamini nani? twende tu ivo ivo!
Bora wao wanajua wanalishwa mercury kuliko sisi hatujui kama tunakula mercury au urea au mchanga
Hivi wewe mbona unakua kama mbuzi mwenye joto? Soma ukaelewa kabla ya kucomment, Kwani media ndo inazalisha au kuagiza sukari?
That was 1 year ago, sasa wewe leo ndo unakuja kuleta hiyo story ya mwaka jana?? Ungetueleza ni hatua gani zilichukuliwa maana ni mwaka tokea hiyo habari itokee.
Bora wao wanajua wanalishwa mercury kuliko sisi hatujui kama tunakula mercury au urea au mchanga
Sent using Jamii Forums mobile app