majiyashingo
Member
- Feb 2, 2011
- 44
- 2
Jamani kwa jinsi sukari ilivyokuwa juu hivi juzi juzi limeniijia wazo la ulimaji wa miwa kwa ajili ya sukari je nani anaweza kuniambia gharama za ulimaji wa Hekari moja maeneo ya Coastal au maeneo ya Kilimanjaro inaweza kughalimu kiasi gani?na je ni rahisi kukodi mashamba?