Jamani kwa jinsi sukari ilivyokuwa juu hivi juzi juzi limeniijia wazo la ulimaji wa miwa kwa ajili ya sukari je nani anaweza kuniambia gharama za ulimaji wa Hekari moja maeneo ya Coastal au maeneo ya Kilimanjaro inaweza kughalimu kiasi gani?na je ni rahisi kukodi mashamba?
Nakushauri uende Morogoro kule Mtibwa,ili uongee na wakulima wadogo wadogo ili wakupe abc za kilimo hicho,data za mtandaoni ni nzuri kwa kuanzia,ila ukiona practically huko mashambani ( Mtibwa,kilombero,Tpc na Babati) utafikia uamuzi sahihi zaidi.