medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Mkuu ujue una mzaha sana wewe, hali inavyokaba watu watakuja mbio hapa wajue Mungu amejibu maombi yao.Kumbe mwendo ni uleule wa kusomeshwa namba.GOOD NEWS: Serikali imesema kuwa bei mpya ya sukari kwanzia mwezi ujao itakuwa Tsh. 1000 kwa kilo moja. SOURCE: Gazeti MAJIRA November 1998..
napenda sana kusoma news za zamani.
[emoji3] [emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji109][emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Ya enzi hizoLamba lamba [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ngoja tusubur reaction za wabongoMkuu ujue una mzaha sana wewe, hali inavyokaba watu watakuja mbio hapa wajue Mungu amejibu maombi yao.Kumbe mwendo ni uleule wa kusomeshwa namba.