Sullivan: Serikali yawatapeli wananchi waziri afungiwa FFU wajimwaga

Viongozi vilaza always huwa wanataka kusema katika accomplishment zao "Tulifanya mkutano fulani fulani tukaalika watu fulani"

Zanaki alisema Sullivan is more about JK than about helping investment in Tanzania.JK knows his is a sinking ship na kama a typical mfamaji anayetapatapa na kushikilia hata unywele unaoelea, alitaka tu kupata kitu cha ku divert attention ya watu na yeye kuonekana kama anafanya kitu, lakini ni wazi hiki kitu hakijawa carefully thought out kabisa.

Sasa msubirini misifa tu akiulizwa ulifanya nini kuhusu investment, utamsikia "tulifanya Sullivan Summit"

Mie hata nachoka kwa nini watu wanakuwa na expectations zozote.JK hanishangazi tena na performance yake (rather lack of), nashangazwa na watu ambao bado wana confidence kuwa JK anaweza kufanya kitu cha maana along these lines.
 

Wakenya si waandaji wa mkutano lakini kwa speech ya Rais was they stole the show again .Halafu tutaanza kulalama wakati sisi wataalam walikalia mbwembwe na kungoja sifa ?
 
Kwani JK alisema nini kwenye huu mkutano.Its all about Obasanjo and Kibaki speeches..did He said anything we can remember of as a host?Maana alipokuja hapa dc,last year kuwakaribisha wamarekani alimsifia SIMBA for like 30minutes kwenye speech..
 
Ndiyo maana wanasema JK ni comedian inawezekana wana maana yao .Kibaki kaongea kiume JK anendeleza PR na smiles
 
speech ya vasco ame-recycle cause itz the same speech he delivered in washington dc during the sullivan dinner.
 
...kwa hili la speech jk failed ...no body remeber what he said ...JK SPEECH WAS NOT SPECIFIC RATHER IT WAS TOO GENERAL..sana sana nakumbuka alisema infrastructure na akawa specific kwenye ndege akiuliza kwa nini hakuna ndege nyingi za marekani zinazofanya direct fly africa zaidi ya DELTA inayotua nigeria na SA tu....na japan kwanini hawana hata ndege moja inayokuja afrika...

but nikuchekesheni i can remenber what all other specifically said..kibaki was straght on investments...al bashir was on PR repair mission perce didnt talk anything about uchumi waliongelea mgogoro wa darfur ..aliilaani CHAD na kutaka waasi wanaofadhiliwa na chad wawe kwenye list ya magaidi wa dunia ,,,..mwisho aliwahakikishia wajumbe kuwa hawatakaa warejee kwenye vita,.....amando guebuza yeye specifically alikuja kuomba uwekezaji kwenye MPANGO WAKE WA VOCATIONAL TRAINING MSUMBIJI KWA KILA WILAYA KATI YA WILAYA ZAKE 120......huo ni mfano tu....waandishi wa hotuba wa rais wetu sijui vipi ..hotuba ya jk ndio iliyochangamsha kuliko zoote lakini baada ya hapo ukiongea na wajumbe hawakumbuki specifically rais wetu ameweka mkazo kwenye kitu gani!!!!
 
Now its time for JK to tell us jinsi bilioni zetu 33, ambazo ni sawa na milioni 33 tulizopeleka kwenye Sullivan Summit ambazo ni kodi yako wewe na mimi zitarudi vipi. Na asituambie yale mabilioni ya MCA maana Bush alishasema atayatoa tayari alipokuja, infact alishasema toka wakati wa Rais Mkapa. Ukiondoa Double Counting ya fedha za miradi ya MCA ukweli ni kuwa Sullivan was another shetani tu la kunyonya damu za kodi za watanzania na fursa ya Rais wetu kupiga picha na kina Chris Turker. Hivi ile hotel ya mbugani Serengeti si inajengwa na wabia wa Sullivan wenye ukaribu na Rais wetu? Mbona hawajaitangaza?

Asha
 

Sasa Bussiness Contacts gani wangetengeza wakati wenye mabanda wamelalamika kuwa mabanda yao hayakusogelewa kabisa? Na wao walijaribu ku-gate crush wakatimuliwa? Ratiba ilisema saa 3 mpaka 5 wangepewa mapumziko ya watu kutembelea mabanda lakini mwishowe hali ikawa tofauti. Waliofaidi Sullivan ni wakina Ngurdoto, na tena hata hao wamenufaika na zile bilioni 33 za kodi yetu. Hawa wageni walinje walikuja kwa package, mafedha yamebaki katika makumpuni yao yaliyowaleta. Hata tours iliyoratibu ujio wa wageni wengi si ya wazawa na iko based nje

Asha
 
Nadhani hapa tunapata picha kamili ya kile ambacho wanabodi walitolea tahadhari awali....

Mkutano wa kitapeli na serikali ilipaswa kuwa makini. Kwa mliofuatilia ile fundraising ye Rev. Jesse Jasckon kuna kitu kilijitokeza pale alipokamata mike mzee Young.... Pia maana nzima ya Banquet sikuiona kamwe... protokali ilikuwa inakiukwa kanakwama tupo kwenye sherehe za harusi...

Nimemsikia Muungwana akisema kuwa masoko zaidi yatafutwe kwa kazi za sanaa. Sidhani kama yupo makini na kauli zake au ina maana mzee mzima hajui ajualo. Masoko mengi yaliyopo ya kazi za sanaa hayajaweza kuwa utilised na wazalishaji waliopo. Ukianzia ukiritimba wa maafisa wa idara husika na ubinafsi wa baadhi ya wadau ktk sekta na kukosekana kwa sera yakinifu ya biashara ni ndoto kuweza kuuza nje...

Ni miujiza kwa producers kuwafikia walaji bila ya suppliers, hivyo sera zikiwepo ambazo zitadhibiti bidhaa feki na holela zitasaidia uzalishaji na masoko yataweza kufanikiwa kwa bidhaa zetu. Sijawahi kuona Kampuni ya Cocacola inafungua duka la vinywaji baridi......

Ifike mahala hawa mawaziri wakae ktk nafasi za taaluma zao. Nilikuwa namhurumia Nagu alivyokuwa anajibu hoja za vendors kinadharia huku akijaribu kuignore uhalisia, na hiyo ndiyo picha kamili ya kutojali inayooneshwa na viwongozi wetu..
Washindwe na kulegea
 
Kuna jamaa anasema kwamba hana washauri ila ana wapambe .Mimi nauliza yeye hana common sense ?
 
Phillemon.. mbona umesahau maneno aliyoyasema Kikwete kwa kimasai? ...


....teh teh ..alikuwa akiongelea kutambuliwa kwa ANDRE YOUNG KAMA MZEE WA KIMASAI.....OLE KUYANY ..LAIBON...something like that...CASH FOR HONOURS?...pia nakumbuka pale alikuwa akituhimiza tucheze mduara wa njenje!!!!@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…