bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Iko poa ichukue
Sasa jina gani hilo!!Mweny kuifaham na mtumiz wa hii perfume anihakikishie kama ipo vizur ili fedha nisiijutie...[emoji3]
View attachment 1637283
Nimeulizia ni elfu25nawaskiaga wengi sana wanaitafuta..
Kwn inauzw kw tsh ngap?
Sasa jina gani hilo!!
Iko vizuriMweny kuifaham na mtumiz wa hii perfume anihakikishie kama ipo vizur ili fedha nisiijutie...[emoji3]
View attachment 1637283
25 hadi 27 au 28 inategemea sehemu gani na ulivyoendanawaskiaga wengi sana wanaitafuta..
Kwn inauzw kw tsh ngap?
25 hadi 27 au 28 inategemea sehemu gani na ulivyoenda
Mweny kuifaham na mtumiz wa hii perfume anihakikishie kama ipo vizur ili fedha nisiijutie...[emoji3]
View attachment 1637283
Mkuu huu ni ubani ambao upo katika hali ya kimiminika [emoji28]utafuatwa na mapepo hadi utajuta
Losheni ya Alshabab
Nimesahau kumbe ni marashi mkuuAah kuna loshen yake au vip?
Hahahhahaha hatar hiyo !!Hiyo ni kwa ajili ya kikundi cha kigaidi cha Alshabaab
Nimesahau kumbe ni marashi mkuu