Sultan king mkali kutoka Zenji, WCB mjipange

Sawa meneja tumekusikia, ila hapo ndipo mnapokosea kudhani kwamba ili msanii fulani a-hit basi ni lazima kumuangusha aliye juu. Kwani Darasa alivyohit iliwazuia WCB kufanya mambo yao?
 
Ukistaajabu ya musa...sasa hivi mtu akitoa kijisongi tu lazima atelezee kiki kwa WCB hongera mondi Tanzania umekujua wewe ni next level bila mondi hutusui kimziki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji135][emoji135]
 
Toka kwenye hellow, unanitosha na nyingine nyingi tu, jamaa alikuwa anakuja vizuri lakini mambo ya nje ya muziki ndio yalikuwa yanamsumbua na alikiri kwenye FNL, kwakuwa amepata management mpya tumsubiri lakini sio wakumfananisha na diamond
 
Ukistaajabu ya musa...sasa hivi mtu akitoa kijisongi tu lazima atelezee kiki kwa WCB hongera mondi Tanzania umekujua wewe ni next level bila mondi hutusui kimziki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji135][emoji135]
Hiyo ndio SI Unit mkuu, huwezi kuta hata siku 1 msanii anayekuja kasi kulinganishwa na Kiba, jiulize kwanini
 
Kuwarefer WCB kwenye huu uzi ni kama changamoto tu, usichukulie too personal,ila kiukiweli WCB now ndo point of refencence kwenye muziki wetu.

Kuhusu juma 20, yupo ujerumani kwa wazee wake, jamaa alikuwa akifanya mziki kutafuta umaarufu tu lakini sio kama serious career yake. JI alibahatisha kwenye gemu ndo alikufa kibudu...hakuweza ku maintain game.
 
Kweli nimezeeka, yaani hata sijui chochote juu ya huyo msanii.

Wekeni hata nyimbo zake hapa wakuu, unafanya kucopy link ya you tube unatupia hapa.
Done mkongwe, link zipo hapo juu...ebu fanya kujiupdate basi
 
Na hiyo ndio ngoma yake pekee nzuri kwangu, alipotoa hiyo jamaa akaolewa na mbibi wa kizungu karudi amechoka hata muziki ushamshinda
kuhusu mziki si kweli kwamba umemshinda la hasha, jamaa bado ana ma uwezo,kuhusu maza wa kizungu ni mapitio tu ya kimaisha, so ni kawaida japo kikazi ilimyumbisha kdg
 
Mkuu ni kweli huyo ndo Platnumz wa zenji, ila kiukweli zenji mziki bado ni mgumu sana kutokana na mazingira halisi (jamii na utamaduni) ndo maana wanamuziki wengi wa zenji ni ngumu kukick mainland, lkn ni rahisi sana kwa wasanii wa mainland kuhit zenji kutokana na kutanuka kwa tasnia kwa upande wa bara, plus promotion and management, yaani sawa tu unapofananisha Mziki wa Nigeria na Tanzania kwa ujumla wake.
 
Ndo hivyo karudi, katoa na ka ngoma kake hata hakafanyi vizuri ingawa mwenyewe nilimsikia FNL anasema eti ni bonus track. Wanzibar ni vigumu kufanya vizuri kimuziki huku bara - labda kama wakihamia huku then wakaze kama Mzee Yusuf
Mzee umeongea point,ila kuhusu ngoma tuipe muda kwanza halafu kama unavoona jamaa ndo kwanza anaanza kutanua wigo wake kwa upande wa mainland, so tumpe muda naye, watamuelewa tu.
 
Yaan kila msanii atakae paa kidogo mnaleta kumfananisha na diamond mlianza na kiba mkachemka akaja darasa mmechemka amekuja huyu napo mnachemka

Diamond hana mpinza asee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sultan king.

Namkubali sana jamaa enzi zile za Babe Hellow,Mahari,Unanitosha na Kiroho safi.
Jamaa Ana kipaji kikubwa mno...huwa namfananisha na Kassim Mganga.

Aache Umwinyi aamue kufanya muziki atafika anapopataka.
Mkuu umeongea ukweli mtupu,nazani ataufata ushauri huu maana nae siku hizi at least ameanza kutumia social networks, maana yuko local sana jamaa, haindani na kasi ya wakati uliopo.
 
Sasa ndugu ndo promo ya aina gani hiyo?!

Yaani umeandika yote hayo lakini umeona tabu kuweka hizo ngoma angalau moja na kinyume chake, it's like unasema, anayetaka kumsikia aka-Google mwenyewe!!!
Mkuu nimeifanyia kazi concern yako, nimeshaziweka some hapa, atakae na ajionee tu watu wenye vipaji vyao vya kweli ambao bado hawajauona mwanya wa mafanikio.
 
Kwann usitaje label zingine? Kwani tz kuna label moja tu? Kila kitu mnataka kulinganisha na wasanii wa wcb as if ndio tbs ya mziki bongo
Mkuu upo sahihi kabisa kuwa WCB wakiongozwa na baba lao D.Platnumz ndio TBS ya Muziki wa bongo kwa sasa, nobody else for my opinion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…