Sultan king mkali kutoka Zenji, WCB mjipange

Yaan kila msanii atakae paa kidogo mnaleta kumfananisha na diamond mlianza na kiba mkachemka akaja darasa mmechemka amekuja huyu napo mnachemka

Diamond hana mpinza asee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimemfananisha Diamond kama ndio kigezo sahihi cha muziki mzuri kwa sasa, siwezi kumfananisha na mtu ambae hana changamoto kwenye mziki.
 
Sawa meneja tumekusikia, ila hapo ndipo mnapokosea kudhani kwamba ili msanii fulani a-hit basi ni lazima kumuangusha aliye juu. Kwani Darasa alivyohit iliwazuia WCB kufanya mambo yao?
Mkuu WCB now ndo kigezo chema kwenye mziki wetu, so wacha watu wajilinganishe na vilivyo vizuri.....WCB kiufupi ndio Hadidu Rejea kwenye bongo flavor kwa sasa
 
Mimi nimemfananisha Diamond kama ndio kigezo sahihi cha muziki mzuri kwa sasa, siwezi kumfananisha na mtu ambae hana changamoto kwenye mziki.
Hapo nimekupata kaka,,unamaana ya kwamba hakuna msanii mkubwa anaefanya vizur kama diamond wengine ndo wanafuata
 
Mkuu nimeifanyia kazi concern yako, nimeshaziweka some hapa, atakae na ajionee tu watu wenye vipaji vyao vya kweli ambao bado hawajauona mwanya wa mafanikio.
Sikumbuki kuwahi kumsikia lakini anajua... sana tu!! Akipata management inayofahamu industry ya Tanzania inaenda vipi anaweza kutusua!!
 
hivi na yule aliimbaga kabwela sina mali , alikuaga anaitwa nani?
Yule anaitwa Momba.Kwao kigamboni hapo.

Alitoa ngoma nyingine kama "Mdundiko" alifanya na Juma Nature kuna nyimbo kama "Sio Sharobaro" na ile "Dar es salaam" ni nyimbo nzuri mno zitafute.
 
Hapo nimekupata kaka,,unamaana ya kwamba hakuna msanii mkubwa anaefanya vizur kama diamond wengine ndo wanafuata
haswaaa, Hapo ndipo point ya msingi ilipolalia.
 
Sultan King ni Msanii mzuri ila hayuko serious na Kazi zake, hata anavyoimba inaonyesha kabisa hayuko Serious pia hajiamini. Inatakiwa hajiamini pia awe Serious!
 
Sikumbuki kuwahi kumsikia lakini anajua... sana tu!! Akipata management inayofahamu industry ya Tanzania inaenda vipi anaweza kutusua!!
Sure bro, ndo maana kwa sasa anajaribu ata kujiweka karibu na watu kama kina mkubwa fella, babutale and alike, siku wakiweza kuassess vyema kipaji chake nadhani watafikiria namna ya kumpush jamaa.
 
Yule anaitwa Momba.Kwao kigamboni hapo.

Alitoa ngoma nyingine kama "Mdundiko" alifanya na Juma Nature kuna nyimbo kama "Sio Sharobaro" na ile "Dar es salaam" ni nyimbo nzuri mno zitafute.
Jamaa nlikuwa namuelewa sana, ila nashindwa kushangaa hawa wasanii wenngine huwa wanakwama wapi hasa mpk wanashindwa kufikia level za juu na ilhali vipaji vya kuimba wanavyo.
 
Jamaa nlikuwa namuelewa sana, ila nashindwa kushangaa hawa wasanii wenngine huwa wanakwama wapi hasa mpk wanashindwa kufikia level za juu na ilhali vipaji vya kuimba wanavyo.
Yule dogo alikuwa Ana kipaji kikubwa mno.

Nadhani ni kukosa watu wazuri ya kumuongoza...si unajua kufanikiwa sio kipaji peke yake mkuu.
 
Yule anaitwa Momba.Kwao kigamboni hapo.

Alitoa ngoma nyingine kama "Mdundiko" alifanya na Juma Nature kuna nyimbo kama "Sio Sharobaro" na ile "Dar es salaam" ni nyimbo nzuri mno zitafute.
eeeh alitambaga kipindi kile , na hio tatizo mimi sio sharobaro
 
Jamaa nlikuwa namuelewa sana, ila nashindwa kushangaa hawa wasanii wenngine huwa wanakwama wapi hasa mpk wanashindwa kufikia level za juu na ilhali vipaji vya kuimba wanavyo.
Shida sio kufika juu, bali kikwazo ni kubaki juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…