Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

Mkuu:
Sawa ni dhahir Waziri Mkuu alikuwa Bw. Mohamed Shamte ĺkn hapa kuna maswali mawili kwangu ambayo naona ni ya msingi:--
1. Zanzibar ilikuwa na muundo gani wa serikali hadi kupelekea kuwa na Waziri Mkuu na sio Rais.
2. Wakati Waziri Mkuu Bw. Mohamed Shamte akiwa madarakani, je huyo Sultan wa mwisho aliye kabidhi madaraka alikuwa akiishi wapi? hapo Zanzibar au alikwisha ondoka?.
 

Yule alikuwa ni Sultan wa Zanzibar baada ya Uhuru.

Lakini fahamu kuwa alikuwa ni Raia wa Zanzibar kwani kuwa Muarabu haimaanishi kuwa hawezi kuongoza Zanzibar.

Serikali ya wakati huo iliundwa kwa Mfumo wa Kifalme ambapo mpaka leo Zipo nchi nyingi tu zinazoongozwa Kifalme.
 
Mkuu King Ngwaba:
(....Kwahiyo Zanzibar mpaka inapata Uhuru ilikuwa chini ya Uengereza huku Mfalme wa Zanzibar akiwa ni Puppet wa Uengereza na wala si Oman kama Watu wanavyodanganywa na kuaminishwa.)

(....Yule alikuwa ni Sultan wa Zanzibar baada ya Uhuru.
Lakini fahamu kuwa alikuwa ni Raia wa Zanzibar kwani kuwa Muarabu haimaanishi kuwa hawezi kuongoza Zanzibar.
Serikali ya wakati huo iliundwa kwa Mfumo wa Kifalme ambapo mpaka leo Zipo nchi nyingi tu zinazoongozwa Kifalme....)

Sasa Znz ilikuwa chini ya himaya ya Muingereza, na hatimae kupata uhuru na unasema Sultan alikuwa puppet wa Uingereza, huo mfumo wa Kifalme unaingiaje hapo hadi kupelekea Prime Minister ku-report kwa Sultan yule yule?.
Huoni kwamba huyu Sultan alikaa meza moja na Muingereza kabla ya kutoa Uhuru.
 
Omukama Oyo Nyimba Kambamba Iguru ni mfalme wa Tooro, na sio Tororo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
January 15, 2020
Muscat, Oman

WAZIRI WA SERIKALI YA MAPINDUZI AFIKISHA SALAMU ZA POLE KWA SULTAN

Waziri wa Nchi Bw. Mohamed Aboud toka Afisi ya Makamu wa Pili Zanzibar akimwakilisha Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi afika Oman kutoa mkono wa pole kwa Mtukufu Sultan Haitham bin Tariq Al Said

"International condolences are conveyed to Oman - YouTube"
Source: Oman News Center
 
Sultan na waarabu wenzake ndio walikuwa wakusanyaji wa watumwa kutoka kwa waafrika katika maeneo ya bara na kuwauza kwa wazungu(walikuwa madalali).Biashara ovu ya magendo ya binadamu na utumwa mamboleo bado vimeshamiri kwa kiwango kikubwa sana uarabuni.
Si kweli, walio kuuza wazungu na babu zako, hao waliuondoa utumwa.

Wazungu mpaka leo hii wanawanunua na kuwauza, huelewi hilo?

Unaelewa meli ya kwanza kupeleka Waafrika America iliitwa Jesus, yes Yesu?
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna bunge ...kuna gavana ..mabaraza ya madiwani ...kuna rais anaechaguliwa kwa mtutu wa bunduki kila baada ya miaka mitano na taifa lina miaka zaidi ya 50 lakini wananchi wananuka shida .. njaa ...maradhi ...umasikini wa kifikra na kimawazo ...usifananishe Oman na vitu vya kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muscat, Oman

Qaboos wa Amani

Tathimini za neema na mabadiliko aloleta nchini Oman, chini ya marehemu Maulana Mtukufu Sultan Qaboos bin Said. Mambo adhimu matatu aliyoyasititiza Sultan Qaboos alipochukua mamlaka kuongoza Oman iliyoshirikisha waOmani wote maana kiganja kimoja hakiwezi kupiga makofi, maono mazuri hayo ya Sultan Qaboos yaliangazia :
  1. Elimu
  2. Siha
  3. Amani

 
Waislamu huwa wanauwezo wakuombea mgonjwa akapona kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislamu huwa wanauwezo wakuombea mgonjwa akapona kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kwenye watu ambao huwa nawakaubali kwenye kuomba ni waislamu hasa kama haya mambo ya dua huwa unapona vyema tu sema wenzetu sio wasanii kama sisi wakristo ambao mtu kuombewa mpk upapatike kama kuku anataka kuchinjwa bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…