Sultani Kipingo

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925


Nilipokuwa nasoma shule ya msingi miaka ya 60, nilisoma kitabu ambacho kilikuwa na hadithi ya Sultani Kipingo. Mojawapo ya sifa za sultani huyo zilikuwa ni ulafi wa kupindukia. Kulikuwa na picha ya kuchora inayo muonyesha sultani huyo. Leo nimeiona hii picha hapo juu, na inafikia karibu na jinsi ambavyo nilifikiria kuwa angeweza kufanana.
 
Umenikumbusha zamani sana. Si kwa hiyo picha kwa hicho kisa cha Sultani Kipingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…