Habari wana JF, npo kwenye gari kuna ubishan mkali. Kuna tofauti gan kati ya maneno haya.
1. Umeolewa 2.Umeowa 3.Tumeowana
No 3 ndio linaleta mkanganyiko sana. Ungewasaidiaje hawa watu?
hao walio oana ni wanaume?au wanawake au yote sawa?sijakuelewa.hebu fafanua vizuri.hiki ni kitendawili au misemo?ukiona wanaendelea kama vipi nenda ukawaoe.mia