NOBERT VICTOR
New Member
- Jun 4, 2024
- 1
- 0
Suluhisho bora
1 ELIMU
Kunahaja ya kubadili kabisa mfumo wa elimu tuliyo nayo
(a) vyuo vingi tulivo navyo ni vya biashara na kiuhalisia hawafundishi watu au wanafunzi kuwa wafanya biashara bora zaidi wanatoa elemu ya kuwa waajiliwa bora hili ni tatizo inabidi tubadilishe mifumo yate ya kufundisha wanafunzi kuwa wafanyabiashara wabwa zadi kuliko kuwa waajiliwa.
(b) TECHINICAL SCHOOL
hapa pia inabidi kuongeza uwekezaji na idadi ya vyuo kutoa elimu ya TECHNOLOGY zaidi kwa sababu dunia ya sasa ndio tunako elekea vijana wengi wakisoma vyuo vya aina hii tutapunguza changamoto kubwa ya kutegemea kuajiliwa. Na pia kuongeza hamasa ya wanafunzi kusoma vyuo vya ufundi haphapo serikali inabidi iviboredhe zaidi hivyo vuo na kuvipa au kununua vitendea kazi vingi zaid ili kila mtu ane fika hapo awe na nafasi nzuri ya kujifunza kwa vitendo. Nabaada ya kuhitimu selikali inabidi iwawezeshe hata kwa kuwakopesha wanafunzi wote vitendea kazi kila mtu kutokana na fani aliyo isoma. Ili asije kurudi mtaani akiwa anataka tena kuajiliwa kwa sababu asipo pata kazi atafanya kazi nyingine ambayo haiendani na fani yake kwahyo atapoteza maarifa yote aliyo soma
2 VIWANDA
kunahaja kubwa sana serikali yetu kuvilinda viwanda vilivyopo kwa kuzuia uingizaji holela wa bidhaa ambayo hapa inazalishwa ili viwanda vyetu viweze kukua kwa haraka mfano mabati watu wanaagiza nje wakati hapa viwanda vipo vingi na vyakutosha magodoro milango vitu kama hivyo na vingine inabidi kuvizuia mapema sana haijilishi wala wasiogobe bei kwa sababu mwanzo utakua mgumu ila baada ya muda kila kitu kitakua sawa zaidi ya hapa tulipo
(a) inabidi waviwezeshe viwanda kwa kuvikopa mitaji au kuweka shea kubwa kwa kila kiwanda ili uzalishaji ukue kwa kasi na kuviondole kabisa mashariti magumu ili viweze kuzalisha bidhaa kwa bei nafuu hizi kodi za mwanzo na kuponguza process za kuanzia kiwanda au biashara zinachosha sana.
(b) gesi kuifanya kama chanzo kikuu cha nishati hapa nchini kwasababu ipo yakusha inabidi tuitumie kwenye uzalishaji wa viwanda ili ipunguze ghalama za uzalishaji.pia asaivi mifumo ya magari kutumia gedi inabidi serikali waongeze nguvu huko kwa kuongeza vituo wasisubili mpaka watu binafisi wafanye hivyo kwa sababu hapo tutapata pesa zaidi kama itawezekana tutaanza hadi kuwauzia nchi jirani tukiweza hilo hata kwa asilimia 40 tuuh tutavuka kwa kasi hapa tulipo.
3 UWEZESHAJI WA MITAJI NA SEMINA KWA WANUFAIKA.
Hili swala la kuwapa mitaji wahitimu wa vyuo bila kuwapa semina ya biashara haitawasaidia kwasababu moja au nyingine umtu toka anazaliwa mpka anakua mashuleni anafundishwa kuajiliwa na sio kua mjasilia mali sasa anapo pata mkopo cha kwanza anakua hajui anaanzia wapi afanye biashara gani mwisho wa siku anafanya biashara bira kuijua vizuri wakati akijitathimini anajikuta mtaji usha isha kwa sababu sio kila mtu anaufahamu wa biashara wengi husimuliwa tuu na kuhisi ni rahisi sasa hawajui kama kunachangamoto nyingi semina ni muhimu na pia mikopo itolewa kwa wahitaji wa biashara ni muhimu ili kupunguza wimbi la vijana kujiingiza kwenye biashara za madawa ya kulevya.pia kupunguza wimbi la mabodaboda inabidi vijana wanapo hitimu wakopeshwe mitaji. Itasaidia hata kupunguza janga tulilonalo la watoto kujiingiza kwenye mapenzi ya jinsia moja kutokana na hali ngumu ya maisha vijana wanarubuniwa kwa fedha ili waweze kufanya hivo.
4 KILIMO
Hii sector ni muhimu sana kunahaja kubwa kwa hili taifa kuongeza elimu ya ulimaji wa kisasa ili wanufaika wa kilimo wapate faida zaidi na katika sector hii. Kuwawesesha wakulima vitendea kazi na mikopo ya kuweza kuendesha kilimo bora. ASANTE

Upvote
0