comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Wana jamvi
Amani iwe kwenu
Kutokana jitihada anazofanya Mh Rais Dr John P.Magufuli katika kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali za utendaji, lakini ili mabadiliko hayo yawe endelevu na kubaki katika historia ya nchi, kwa maana Kivuli chake kiishi daima ,suluhisho kubwa kabisa ni kuleta katiba mpya ambayo kiongozi yoyote yule akiwa madarakani ataifuata na kuheshimu, tumeona matamko mengi yasiofuata sheria katiba mpya bora itamsadia Mh Rais katika kumpunguzia mzigo mkubwa alionao wa mamlaka ya uwajibikaji ili asichoke maana kazi ya kuongoza nchi ni ngumu sana Rais anahitaji kusaidiwa na katiba mpya, Aidha tumeona matamko mengi ya viongozi yasioendana na kufuata katiba na maadili matamko ya udhalilishaji hasa yanayowalenga watumishi wa umma, tumeona teuzi nyingi nguvu za Rais, Aidha, katiba mpya itaweka sura ya uwajibikaji halisi.