Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hii kamatakamata ya watu so called wa Taasisi inaleta loopholes za hata majambazi na watu wengine kujifanya nao wana mandate ya kukamata watu hivyo kupelekea maisha yetu mtaani kuwa ya hatari...
Ushauri ili kuondoa Sintofahamu hizi
Ushauri ili kuondoa Sintofahamu hizi
- Kama mtu anatakiwa na vyombo vya sheria basi polisi wapeleke kwake order kwamba tunakuhitaji ili yeye na hata watu wake wa karibu waweze kufika kituoni kwa maelezo.
- Asipotokea au kufuata ombi hilo la kufika kituoni basi askari hao wanaweza kumfuata bali pia wapite kwa mwenyekiti wa Mtaa
- Mtu yoyote ambaye wanaweza kumkamata ni yule ambaye inajulikana yupo katika wanted list... (yaani ametafutwa hajapatikana / yupo mafichoni)