Gwappo Mwakatobe
R I P
- Nov 22, 2019
- 1,796
- 2,345
Sasa ni nchi moja, hakuna haja ya viza!Kwani bado kuna viza ya kusafiri kati ya Tanganyika na Zanzibar??
Duh, aiseeh!Mpaka Siku mfumo wa muungano wa Uingereza,Scotland,Ireland&Iceland utakaporekebishwa ndipo na sisi tutarekebisha,kwa sasa ngoja uwe hivi hivi tuwanyoshe.
Weye ni Mzanzibari au Mtanganyika? Je, huoni kuwa na vitambulisho viwili ni kosa? Ukija bara uwe na cha bara kule Ngara huku ukienda Zanzibar uwe na cha kule Chukwa?
Mkuu mbona leo hujaweka viambatanisho ?Naunga mkono hoja
P
Naunga mkono hoja na hii ipitishwe kwa maslahi ya kila pande
Pamoja na ukweli kuwa Muungano huu una utata mkubwa sana mpaka unalinganishwa na ukoloni (mtanganyika amemkalia kimabavu mzanzibari), mapendekezo yako siyo realistic.
Tutakapotengana tofauti zetu zitazidi kukua na mwishowe tutawekeana vizingiti na kuishia kuwa maadui milele.
Sababu kuu itakayosababisha kuchukiana zaidi ni tamaa za viongozi kutawala na kuwa na mamlaka bila bughudha. Kwa mfano simuoni rais wa Muungano awe CCM au CHADEMA atakayekubali kupoteza visiwa vya Zanzibar kirahisi rahisi hivyo.
Tamaa ya viongozi wa Tanganyika ni kama ya wayahudi ya kuyapora mamlaka yote ya Zanzibar kama wapalestina walivyoporwa.
Malalamiko ya aina hii huyasikii sasa hadi mama atakapotoka madarakani akaingia m-bara, Why?Pamoja na ukweli kuwa Muungano huu una utata mkubwa sana mpaka unalinganishwa na ukoloni (mtanganyika amemkalia kimabavu mzanzibari), mapendekezo yako siyo realistic.