Wanajamii kwanza ikumbukwe kuwa nami ni muhanga, kwani iliniuma sana baada ya kumaliza shule, mambo yalikuwa magumu. Nikafikiria hii siyo fair! Haiwezekani nisome 4 years then hukumu iwe masaa 3 tu. Wangeweka utaratibu wa semesta huenda cummulative ingeokoa