I guess I opt to agree to disagree with you. Siku njemaMkuu vitu vitatu, bomoa mji, Tenga sehemu zao,weka fees,this will only work kama kubomoa kunaendana na ku develop sehemu nyingine zinazoonekana kuwa centres za biashara.
High fees nilikua namaanisha Mmachinga anayeuza Kariakoo asiwe sawa na wa Buguruni, sijasema walipe high fees mpaka washindwe kumudu. Ofcourse, Mmachinga fees zao hazitakuwa sawa na wafanyabiasha wa kawaida
Anaongelea wamachinga as if sio Hawa wanaotengewa maeneo kila kukicha. Sasa wanaona heri kubomoa mji kisa machinga, hii lazima upime akili, machinga anachangia uchumi kiasi gani, na je tukiamua kuvunja na kuwawekea hayo maeneo ndio tatizo litakuwa limeisha? Na je payback ya huo mradi ni miaka mingapi?Dada hao Machinga sikio la kufa hata ufanyaje hawawezi fuata sheria...mfano walijengewa Machinga complex pale ikiwa na ghorofa mbona hawataki kwenda?
Eti Machinga hawezi kulipa ushuru, nilidhani ni mindset za hao Machinga ndio zinazopaswa kubadilika kumbe hata Sisi watu wengine tunapaswa kubadilika. Machinga anaweza sana kulipa ushuru, nine suggest watengewe eneo ila haihitaji degree kujua kwa kufanya hivi ni kuwatambua rasmi nani ni nani, anafanya biashara gani ndogo,sehemu gani ..tayari wanakuwa wameingia kwenye mfumo wa kodi/ushuru rasmi, pia kukiwa na usimamizi wa sheria hakuna kufanya biashara nje ya eneo lililotengwa na kukawa serious kuna wasimamizi wa kutekeleza, hili tatizo litaisha for good...Anaongelea wamachinga as if sio Hawa wanaotengewa maeneo kila kukicha. Sasa wanaona heri kubomoa mji kisa machinga, hii lazima upime akili, machinga anachangia uchumi kiasi gani, na je tukiamua kuvunja na kuwawekea hayo maeneo ndio tatizo litakuwa limeisha? Na je payback ya huo mradi ni miaka mingapi?
Huwezi kubomoa miundombinu na majengo ya billions of money kwa mradi wa kusubiri ushuru na sio Kodi. Machinga analipa ushuru in case ukimjengea hizo maeneo then ushuru wenyewe utamcharge kiasi gani? Hapa sijui kama mchumi wa kawaida kabisa asiye na degree ya uchumi anaweza kukubali hiyo hoja.
Ndio maana nilimuonyesha hata miradi iliyowahi kujengwa, labda hajui kwamba hata hiyo machinga complex ilikuwa eneo la watu na wakaondolewa ndipo ikajengwa Ila matokeo tumeona na Kuna maeneo mengi sana machinga walitengewa Ila wanarudi mabarabarani kama kawaida kwenye maeneo yenye mkusanyiko wa kila siku.
Inaeleweka kabisa machinga anataka sehemu ambayo kuna mkusanyiko ili aweze kuuza bidhaa kwa watu wasio na muda wa kusubiri weekend ndio wafanye shopping pia ni kulingana na maisha ya watanzania wengi kwamba tunategemea kutafuta hela ya kula Leo tu kesho itajipa so ukipata unapita barabarani unakuta miguu ya kuku imekaangwa unabeba watoto wakale tusubiri kesho.
Machinga hawezi kukubali umuweke alipishwe ushuru. Walikimbilia stendi ya Mbezi Luis wakaanza kukaa ndani wamezuiliwa sababu walikuwa wanataka waingie kama staff simply Wana bidhaa tu. Machinga ni mtu asiyetaka kulipa hata shilingi Mia ya ushuru kwa kisingizio kwamba ni Wana mitaji midogo.
Gharama ya kubomoa mji mzima ni zaidi ya pesa ambazo unaweza kuwapa mtaji machinga wote wa daresalam wakafungua maduka na kuachana na shughuli za umachinga.
Yaani Kariakoo pote pabomolewe?Hello JF,
Suala la Machinga kufanya biashara mjini Kariakoo na sehemu nyinginezo limekua ni tatizo la miaka nenda rudi bila ufumbuzi wowote, imekua kero kwa wapita njia na wafanya biashara wengine,,,,,,,
Binafsi sidhani kama kuwafukuza waende sehemu nyingine ni suluhisho, wataenda kwa muda baada ya muda mfupi wanarudi tena,lazima tupate ufumbuzi wa hili tatizo litokomee for good,
In a way nawaelewa haileti maana kupelekwa sehemu ambazo ni ngumu kufanya biashara,,,,
Machinga wasifukuzwe bali napendekeza waachwe kufanya biashara hapo hapo mjini. Kwa vile Kariakoo ni ndogo kuwa accommodate both Machinga na wafanya biashara wengine, na since wote wana struggle for a space, THEN space itafutwe kwa kwenda juu. Namaanisha mji ubomolewe zijengwe ghorofa za biashara, na hii itatoa nafasi kwa wote. Chini/ underground,ama nyuma , juu,hizi ghorofa ziwe ndio sehemu maalumu ya hawa Machinga kufanya biashara zao, Nafasi kwa wote kufanya biashara,, hata nchi nyingine sio kwamba hakuna wafanya biashara ndogo ndogo ni wanatengewa sehemu zao hapo hapo mjini kwenye kitovu cha biashara,
Kufumua mji might seem costly at first lakini mimi ndio naona ndio suluhisho la kudumu,,,
Mnasemaje?
Becky
Uko sahihi mkuu we have large arable land, ambayo ikitumika fully inaweza kutoa ajira nyingi tu,I agree kilimo kiwe kwenye moja ya mipango/mkakati wa kupunguza tatizo la ajira na wamachingaGharama ya kubomoa mji mzima ni zaidi ya pesa ambazo unaweza kuwapa mtaji machinga wote wa daresalam wakafungua maduka na kuachana na shughuli za umachinga.
Kushamiri kwa wamachinga mjini ni matokeo ya serikali kufeli katika kuinua sekta ya kilimo ambacho tunaambiwa ndio uti wa mgongo wa nchi yetu.
Serikali itakapoamua kuweka mipango na mikakati thabiti ya kukuza sekta ya kilimo kwa wakulima naamini itapunguza sana kama sio kumaliza kabisa tatizo la machinga.
Umachinga ni kimbilio la wakulima walioshindwa kuendelea na shughuli za kilimo kutokana na changamoto nyingi zilizopo kwenye sekta hio.
Wakati mmebomoa mji na wakaati mji unajengwa,Machinga watakuwa wanafanyia Biashara wapi? Maana Mji haujengwi siku mojaNikaulize nini?? Ukishabomoa mji na kutenga eneo lao hapo hapo mjini unaintroduce fee ya kutumia hio sehemu ya kufanya biashara, japokua eneo litakua dogo fee yake inatakiwa kuwa kubwa sababu ni mjini. Hii itawatawanya, kwa wasiomudu kuuza mjini watatafuta maeneo mengine,ofcourse this won't work if maeneo mengine muundo mbinu yao haitatengenezwa. So pote panapoonekana Machinga wanasumbua sana ni kuwawekea sehemu hapo hapo ya kuuza kwa kuwajengea strategically hio limited space.
Mwisho ningependa pia kuwe na visheria vidogo vidogo vya kuwazuia wafanyabiashara kufanya biashara kiholela,,,
Wabongo wengi wanaumwa,presha,sukari,ukimwi,magoti hawawezi kupanda ngazi refer machinga complexHello JF,
Suala la Machinga kufanya biashara mjini Kariakoo na sehemu nyinginezo limekua ni tatizo la miaka nenda rudi bila ufumbuzi wowote, imekua kero kwa wapita njia na wafanya biashara wengine,,,,,,,
Binafsi sidhani kama kuwafukuza waende sehemu nyingine ni suluhisho, wataenda kwa muda baada ya muda mfupi wanarudi tena,lazima tupate ufumbuzi wa hili tatizo litokomee for good,
In a way nawaelewa haileti maana kupelekwa sehemu ambazo ni ngumu kufanya biashara,,,,
Machinga wasifukuzwe bali napendekeza waachwe kufanya biashara hapo hapo mjini. Kwa vile Kariakoo ni ndogo kuwa accommodate both Machinga na wafanya biashara wengine, na since wote wana struggle for a space, THEN space itafutwe kwa kwenda juu. Namaanisha mji ubomolewe zijengwe ghorofa za biashara, na hii itatoa nafasi kwa wote. Chini/ underground,ama nyuma , juu,hizi ghorofa ziwe ndio sehemu maalumu ya hawa Machinga kufanya biashara zao, Nafasi kwa wote kufanya biashara,, hata nchi nyingine sio kwamba hakuna wafanya biashara ndogo ndogo ni wanatengewa sehemu zao hapo hapo mjini kwenye kitovu cha biashara,
Kufumua mji might seem costly at first lakini mimi ndio naona ndio suluhisho la kudumu,,,
Mnasemaje?
Becky
Nilikua natafuta neno kumbe ni mall, LOL, ndio hizo nazoongelea, je ulikopita kuona hizo mall hakuna mahali palipotengwa kwa wafanya biashara wadogo wadogo?The Choice is ours....
Kuhahirisha tatizo au kutatua Tatizo...
Moja kwa miji kama yetu bado maghorofa sio jadi yetu (usafi, mobility, mambo ya lift ambayo ni cost zaidi, kupanda ngazi usumbufu n.k.) unless otherwise unaongelea kujenga malls which is expensive na mtu mpaka ajenge anaangalia return on investment na uwezo wa machinga kulipa rent sababu ni mdogo huenda pesa yake isirudi..., hivyo itabidi ruzuku / kodi zetu zitumike ku-build something which might turn out to be a white elephant....
Hata kama ikiwa feasible tunabomoa leo tunajenga ili lidumu kwa miaka mingapi tujenge tena (miaka 100 au 5) sababu bila kufunga bomba la kuzalisha machinga kila siku watamiminika na kudai tubomoe ili tujenge tena ila wapate sehemu...
Now unaweza kusema natoa criticisms bila solution which is easy..., lakini the only solution ni kuacha kuzalisha machinga...., Sadly sidhani kama hili linaweza kutatuliwa na watunga sera au mimi nawewe kupiga porojo hapa bali ni Machinga wenyewe....
Riwaya: Machinga mimi Masikini
Utangulizi Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo… Nasogea kwenye bustani na kuketi napigwa na upepo mzuri naona wanafamilia wakitembea kutoka makwao kuelekea...www.jamiiforums.com
Development costs money..., kwahio ni either kutumia ruzuku au wawekezaji waweke pesa wakitegemea pesa yao itarudi through rent..., sasa machinga kama ni mchuuzi na bidhaa zake ndio hizo hizo na ndani zipo ambapo ndani mtu anachaji premium price kutokana na overheads huoni kwamba watu wataishia mlangoni kwa machinga hivyo ndani watu wasiingie au kupata wateja, hivyo kushindwa kupata rent na hivyo jengo kukosa wateja ?Nilikua natafuta neno kumbe ni mall, LOL, ndio hizo nazoongelea, je ulikopita kuona hizo mall hakuna mahali palipotengwa kwa wafanya biashara wadogo wadogo?
Mji ukiwa overpupolated na wachuuzi wengi ni vigumu kuwa msafi..., Unaongelea uwepo wa machinga kama ni part ya maisha lakini ni umasikini, janga na ugonjwa kwa nchi..., kuwa na watu wasio na uhakika wa kuuza, hawana security, na kila mwaka wanaongezeka kama ndio only way ya kujipatia kipato (kwa kuwa madalali na middle men bila kuzalisha) ni utumiaji mbovu wa rasilimali..., mfano mtu anaweza kujilisha tunasema hapana tukupe mtu akuchotee chakula na kukulisha mdomoni ili na yeye apate la kufanya...., Cha kujiuliza Je Machinga ni necessary katika kutoa service wanazotoa au wanaweza kutumika efficiently kujenga nchi ?Mimi sio mchumi ila serikali ikifanikiwa kutengeneza mji,ukawa msafi itavutia wafanya biashara ndani na nje nina uhakika hio ROI itapatikana tu
Kufanya Machinga wasiwepo kabisa ni jambo gumu practically,
Mkuu tatizo ni kuwa wao hawataki kulipa hiyo fee.Nikaulize nini?? Ukishabomoa mji na kutenga eneo lao hapo hapo mjini unaintroduce fee ya kutumia hio sehemu ya kufanya biashara, japokua eneo litakua dogo fee yake inatakiwa kuwa kubwa sababu ni mjini. Hii itawatawanya, kwa wasiomudu kuuza mjini watatafuta maeneo mengine,ofcourse this won't work if maeneo mengine muundo mbinu yao haitatengenezwa. So pote panapoonekana Machinga wanasumbua sana ni kuwawekea sehemu hapo hapo ya kuuza kwa kuwajengea strategically hio limited space.
Mwisho ningependa pia kuwe na visheria vidogo vidogo vya kuwazuia wafanyabiashara kufanya biashara kiholela,,,
Development costs money..., kwahio ni either kutumia ruzuku au wawekezaji waweke pesa wakitegemea pesa yao itarudi through rent..., sasa machinga kama ni mchuuzi na bidhaa zake ndio hizo hizo na ndani zipo ambapo ndani mtu anachaji premium price kutokana na overheads huoni kwamba watu wataishia mlangoni kwa machinga hivyo ndani watu wasiingie au kupata wateja, hivyo kushindwa kupata rent na hivyo jengo kukosa wateja ?
Ndio maana nchi nyingine kuna minada, sunday markets, yard sells n.k. vitu vya muda mfupi ili watu waondoe junks zao au bargain hunters wapate vitu..., haiwezekani kukawa na open doors bila kujali capacity kwamba kila mwenye mzigo anaweza kuja / kwenda popote..., population inaongezeka kwahio tutakuwa na miji iliyojaa malls ?
Mji ukiwa overpupolated na wachuuzi wengi ni vigumu kuwa msafi..., Unaongelea uwepo wa machinga kama ni part ya maisha lakini ni umasikini, janga na ugonjwa kwa nchi..., kuwa na watu wasio na uhakika wa kuuza, hawana security, na kila mwaka wanaongezeka kama ndio only way ya kujipatia kipato (kwa kuwa madalali na middle men bila kuzalisha) ni utumiaji mbovu wa rasilimali..., mfano mtu anaweza kujilisha tunasema hapana tukupe mtu akuchotee chakula na kukulisha mdomoni ili na yeye apate la kufanya...., Cha kujiuliza Je Machinga ni necessary katika kutoa service wanazotoa au wanaweza kutumika efficiently kujenga nchi ?
Kuondoa machinga sio njia rahisi ila its the only sustainable long term solution.., sababu wanakuwa exponentially kwa kuendelea kuwazalisha ni kuzidi kufanya kesho yao na yetu kuwa ngumu zaidi..., Watu ni rasilimali ikitumika vizuri (potential wanunuzi na wazalishaji) na sio sasa (wabangaizaji na wapiga mizinga) ambao ndio kuja kuzalisha vibaka na waharifu

Rent kutoka kwa Machinga ? Developers wanakwenda kuomba mkopo wanapewa na riba kiasi kadhaa ili miaka kadhaa pesa iwe imesharudi kwahio kama would be renters capacity yao ya kulipa ni ndogo developers will not do such development kilichobakia ni kwa kutumia ruzuku na sio kwa kutumia wawekezaji, kwahio hata ikifanyika sio sustainable...Hela yao itarudi through rent, and yes mji ukipangwa machinga wakawekwa sehemu yao mji unabaki msafi, njia zinapitika, security inaongezeka , hii climate ni nzuri kuvuta wafanya biashara ndani na nje, hawa wafanyabiashara Pamoja na machinga watarudisha tu hio rent,i believe
tofautisha na kwenda mlimani city sehemu nyingine na kariakoo sehemu nyingine au ghorofa ya pili na ya tatu jengo hilo hilo, product hizo hizo..., na hawa wapangaji watakuwa sio machinga tena bali ni wapangaji na ndio kila mtu anataka iwe hivyo.., by the way si hawa watu walijengewa machinga complex what happenedKisha, tunaishi dunia ya ushindani, bidhaa yako ndio biashara yako,mtu anaweza kwenda Kariakoo kununua cheap ama mlimani city expensive /original kitu hicho hicho. So, sio kweli wenye maduka watakosa wateja.
Kwahio hizo product za machinga ni tofauti au ni zilezile tofauti ni bei ? Kama tofauti ni bei sababu ya rent kwanini mfanyabiashara wakawaida na yeye asiende juu ili kusave pesa through rent ? Kuna mitaa ya kifahari na fashionable products watu wananunua kule sababu ya upekee na individuality, kwahio ikiwa mchanganyiko hata branding itakuwa ni tatizoKwangu mimi huu utaratibu una simplify things, najua budget yangu nikifika kariakoo niende kuperuzi jengo la ngapi kwenye mall,chini ama juu kwa wamachinga..lol…
Hivi ushaangalia wanachouza machinga ni kitu gani na ni nini kipo madukani machinga hana ? Mwingine anajua kabisa Kariakoo hicho kitu kipo ila anakwenda duka jingine sababu ya convenience, sasa kama unavyosema tofauti ya bei ni kubwa na tofauti ya convinience ni kupanda ngazi ghorofa moja utaona kwamba machinga atakuwa na upper hand price-wise ukizingatia wabongo wapenda bargains....Hata sasa hivi mnalalamika wenye maduka halali mjini wanabugudhiwa na Machingas,mbona HAWAHAMI??? Wapo hapo hapo??? Ni kwamba hapo mjini ndio kituo cha biashara.. WOTE wanauza,kinachokosekana ni utaratibu mzuri wa kuwaweka Pamoja, LOL……. hata hizo malls ulizotembelea mkuu sio kweli wanauza vitu the same price,kuna nyingine cheap , pia sio kweli bidhaa ni tofauti,ukiingia mall nyingi sana sana nguo,viatu, accessories wote wanauza vitu hivyo hivyo kila mtu na bei yake,nachotaka kukuonyesha sio kweli mmachinga wataua biashara za wengine…anyway hawa watakua na level yao ndani ya jengo,sio kwamba hapa Mmachinga..pale sijui nani hapana,
Kumbe haujanielewa tangia mwanzo..., sijasema tuwaondoe..., nimesema tuache kuwazalisha...., kuendelea kuzalisha machinga wachuuzi na sio nguvu kazi (wazalishaji) ni hasara kwangu, kwako na taifa kwa ujumla..., na mbaya zaidi hasara zaidi ni kwa machinga wenyewe..., kuacha kuwazalisha maana yake ni kuwa mentality ibadilike na kuona kwamba uchuuzi sio njia pekee ya kupata kipato bali kwa umoja wao wanaweza wakawa wazalishaji na sio wachuuzi..., in this day and age na tunapoelekea kwa delivery na kina Amazon uchuuzi is not the way forward hali itazidi kuwa ngumu siku baada ya siku na huu ni mwanzo tu..., solution za muda mfupi ni kuendelea kulea mbuyu ambao leo upo kama mchicha na kesho ukishakuwa mkubwa itakuwa too late...Ni kweli mji ukiwa overpopulated ni ngumu kuwa msafi, ila miundo mbinu mizuri hata kwenye majiji makubwa ilizingatia population growth katika planning stages zao, wakaweka sehemu za wachuuzi, so things can be improved, mimi sidhani kama tumeshindwa bali hatujawa serious. Halafu unataka tuwafanyaje wamachinga??tuwauwe au??LOL…dawa sio kuwaondoa kabisa hilo haliwezekani labda factors zingine ziwe deployed;Kilimo, Elimu yenye tija n.k vinaweza kupunguza Machingas hivi hivi njia yako sidhani kama ita work. Dawa badala ya kuwatimua unashirikiana nao,wakipewa kodi ndogo wanaweza kushiriki kujenga taifa kwa ku contribute kidogo walicho nacho…kuliko sasa hivi hawajulikani nani kafanya nini,kauza shilingi ngapi….
No sijashinda wala hapa hakuna mshindi bali wote tunapoteza, mimi.., wewe na ndugu zetu machinga na vizazi vijavyo ambapo matabaka yatazidi..., kwahio kama nchi tunapoteza..... Vilevile hata walionacho wanapoteza sababu ukiwa na watu wengi wasio na kitu fahamu kabisa soon or later they will come to take what's yours....Haya basi umeshinda
Hello JF,