Mi nashangaa tume kuundwa kuchunguza the reason why there are massive failures in the NECTA form four, i find it to be a means of using unreasonably the funds of poor tax payers. Haihitaji elimu ya chuo kikuu kujua kuwa kipof hawez kumuongoza kipofu mwenzie. Watu wanasema walimu waongezewe mishahara au sijui nin na wanasahau kua hata wakilipwa milion tano kama ni vilaza ni vilaza tu,mtu anasoma chuo hajifunz kujua vitu ili akafundishe bali anajitahid afaulu tu kwa marks zozote zile kwa sabab tu ajira ni assured. Sa mwalim kama huyu kwel ambae ni kipof wa mambo unatarajia atamfundisha mwanafunz ambae ni kipof ajue nin kama sio ukipof?hata ukimlipa milion tano unadhan pesa itaondoa ujinga na ukilaza wake? Sasa what should be done,
1. walimu wote kabla ya kuajiriwa wapigwe interview kujua ni wepi wanafaa,tena interview iwe oral na written ili hata tukiwalipa pesa nyingi basi tuone valu for money. Angalia mfumo wa kuajiri wa private schools,lazma hata kama umefaulu ni lazma wakuinterview na kuona uwezo wako wa kudeliver.
2. restructure the education system iwe wale wanaoenda ualim ni watu at list wenye division 1,2, n 3 ili kuondokana na zile dhana "kimbilio la waliofel ni ualim",au "kafel, basi mwachen arisit atafute credit za ualim"
3.ondoa siasa katika elimu,wamefel wanafunz eti politicians ndo wanachunguza, acha maprofessor wafanye kaz iyo mana ndo kazi zao izo kuresearch.
ni ushauri tu kwa serikali yangu,i stand for correction,cricism and challenge coz this is a mere display of what my brain thinks about this problem