singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Haki ya kufanya
kazi
44.-(1)Kila mtu ana haki kufanyakazi ya kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe na kupata ujira unaostahili.
(2)Kila raia ana haki na fursa sawa kushika nafasi yoyote ya kazi, uongozi au shughuli yoyote iliyo chini ya mamlaka yanchi.
Haki za
wafanyakazi na
waajiri
45.-(1)Kilamfanyakazi anahakizifuatazo:
(a)kufanya kazi bila ubaguzi wa aina yoyote;
(b)kupata ujira na malipo halali Kulingana na kiasi na sifa za kazi anayofanya;
(c)kuunda au kujiunga na chama cha wafanyakazi mahali pa kazi;
(d)kushiriki katika shughuli za chama cha wafanyakazi mahala pa kazi
(e)kupata hifadhi ya afya na usalama wake katika sehemu ya kazi.
(2) Kila mwajiri ana haki ya kujiunga na chama cha waajiri,
shirikisho au mashirikisho ya sekta yake.
(3) Kila chama cha waajiri na wafanyakazi kitakuwa na haki ya:
(a)kuamua kuhusu uongozi, programu na shughuli zake; na
(b)kuanzisha, kujiunga na kusimamia shirikisho lao.
(4) Kila chama cha wafanyakazi kitakuwa na haki ya kufanya majadiliano ya pamoja na mwajiri na kuingia mikataba ya hali bora ya kazi.
(5)Bunge litatunga sheria itakayoweka masharti kuhusu haki za waajiri na wafanyakazi nautaratibu utakaowezesha waajiri na wafanyakazi kutumia haki zao.