Yudasti
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 1,002
- 1,443
Wadau ni siku nyingine tena, nimekuwa nikiona post za watu humu kulalamika juu ya ukosefu wa ajira pamoja na hali ya biashara kwa ujumla.
Ni wazi kuwa watihitimu wanamaliza wengi kila mwaka ila ajira ni chache, hivi tujiulize kidogo, tumewahi kubuni ajira ambazo hazijafikiriwa bado?
Ni wazi sasa tuanze kubuni ajira ambazo zitakuwepo mwaka 2030 na zaidi. Tuepuke mazoea.
2. Tuanze kutafuta ujuzi mbadala vyuoni kuliko kutafuta ubora wa vyeti na matokeo mazuri pekee.
3. Biashara zetu zilenge ubora, upatikanaji mzuri na weledi kuliko kupambana na kutafuta faida pekee.
4. Mwisho, tujenge hali ya kupeana mawazo, fursa, masoko, kuaminiana na misaada tofauti kwenye jamii zetu kuliko kuitegemea serikali ambayo inahitaji sana maboresho.