Suluhisho la Tatizo la uume kutosimama imara wakati Wa kugegenda

Suluhisho la Tatizo la uume kutosimama imara wakati Wa kugegenda

ugalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
652
Reaction score
602
Nini kinasababisha uume kutosimama imara? Yaani unakuta MTU unataka kugegeda unakuta uume upo legelege, nini sababu? Je tatizo linaisha kwa kufanya nini?

Hospitali gani inaweza tibu hili tatizo?
 
Nyosha maelezo tukusaidie direct kama nini we we inalegea....
 
If the penis is loose and flab,No way out rather becoming a Gay(Chakula).
 
are you serious??? who told u all those people who are gay they are penis is loose and flambe???

No need to be told but rather I do research on my own, so I am Sure 100% seriously, to get enjoy the act, I rather advise the person to utilize his back orifice , for sex satisfaction.

He'll be enjoy much rather than being eunuch.
 
Hili jukwaa na lile la teknolojia siku hizi yamekosa mvuto kwa wanaJF makini.
 
Punyeto nimeacha mwaka Na ushe sasa ila tatizo bado lipo je inaweza ikawa Ni nn??
 
Nyosha maelezo tukusaidie direct kama nini we we inalegea...

Mbona Maelezo yamenyooka mkuuu ..labda useme niongeze taarifa gani zaidi?.
 
Punyeto nimeacha mwaka Na ushe sasa ila tatizo bado lipo je inaweza ikawa Ni nn??

tatizo dogo sana hilo, umevuruga hormone zako aidha kwa msosi au hiyo punyeto, utapewa dawa utakuwa sawa kabisa
 
No need to be told but rather I do research on my own, so I am Sure 100% seriously, to get enjoy the act, I rather advise the person to utilize his back orifice , for sex satisfaction. He'll be enjoy much rather than being eunuch.

utakuwa unatumiwa weww sio bure,,, shida yako muongezeke tu.
 
Acha usen**e tafuta viroba vya konyagi viwili then kunywa maj lita tatu, nenda kaisugue kama kawa. Kama unywi ukome?
 
Jaribu vitunguu saumu vipande vinane tafuna au katakata vipande vidogo vidogo meza na maji asubuhi kabla ya kupiga mswaki na jioni ukitaka kulala.....kula matunda hasa ndizi na machungwa...tafuna karoti mbichi pia
 
Punyeto nimeacha mwaka Na ushe sasa ila tatizo bado lipo je inaweza ikawa Ni nn??

Kama umeacha punyeto jitahidi pia kuacha kubana haja kubwa..hiyo pia ni sababu ya uume kulegea na kuwa hovyooooooo!!!
 
Hakuna dawa ya kusimamisha mbolo zaidi yakufanya mazoezi na kula vyakula stahili
 
Back
Top Bottom