Suluhisho la Tatizo la uume kutosimama imara wakati Wa kugegenda

Nini kinasababisha uume kutosimama imara ?? Yaani unakuta MTU unataka kugegenda unakuta uume upo legelege nini sababu? Je tatizo linaisha kwa kufanya nini? Hospitali gani inaweza tibu hili tatizo?
Hakuna dawa ya kusimamisha mbolo zaidi yakufanya mazoezi na kula vyakula stahili

TATIZO LA UUME KUSINYAA





TATIZO LA UUME KUSINYAA
Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja kujigundua huona kama mabadiliko makubwa yaliyotokea ghafla katika viungo vyake vya siri. Mwanamke mwenye tatizo hili pia naye huona kama tatizo geni linaloanza ghafla.
Kwa kawaida hali hii hutokea katika umri mkubwa kwa mwanaume na mwanamke yaani kuanzia umri wa miaka hamsini lakini ikitokea katika umri chini ya miaka hamsini basi ni tatizo. Wapo vijana wenye matatizo haya ambayo vyanzo vyake tutakuja kuviona katika safu hii.

CHANZO CHA TATIZO
Hali ya kusinyaa kwa viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume hutokana na kuwepo kwa msukumo hafifu wa damu sehemu hiyo, maambukizi sehemu za siri ambayo huwa ya muda mrefu hasa kaswende, hitilafu katika misuli ya uke na sehemu za siri za mwanaume inayoathiriwa na kaswende virusi vya HIV, ugonjwa wa kifua kikuu na hata baadhi ya magonjwa sugu ya ngozi. Matatizo mengine yanayochangia hali hii ni ugonjwa wa kisukari.
Matatizo katika mishipa ya damu vilevile huweza kusababishwa na magonjwa ya moyo au mishipa ya damu inayosambaa sehemu hizo. Misuli inaposinyaa kwa mwanamke nayo huweza kusababishwa na magonjwa kama tulivyoona, uke unasinyaa pia huweza kusababishwa na uzazi wa mara kwa mara na karibu kufanya ngono mara kwa mara na wanaume tofauti na hitilafu katika mfumo wa homoni.
Mwanamke anapata tatizo hili la kusinyaa uke endapo pia homoni au kichocheo cha Estrogen' kitakuwa kimepungua mwilini na kufanya mafuta yapungue ukeni. Kwa upande wa mwanaume homoni inayopungua kwa mwanaume ni Testosterone.

DALILI ZA TATIZO
Mwanaume mwenye tatizo hili hasa kijana, ingawa kwa wazee ni hali ya kawaida, kijana huanza kuona mfuko wa pumbu hulegea na kushuka sana, usinyaa na kujikunja kunja, kokwa huinekana ndogo na mishipa mikubwa ya damu huanza kujitokeza na mishipa mbegu toka katika kende huonekana wazi. Uume huwa kama wa mtoto mdogo na mishipa ya damu huchomoza wazi. Nguvu za kiume hupungua sana na endapo ukiweza tendo la ndoa la kwanza unawahi kumaliza na kushindwa kabisa kupata tendo la pili.
Mara kwa mara maandalizi kabla ya tendo la ndoa kwa mwanaume mwenye tatizo hili ni kuchezea sana uume kwa kuurusharusha au kuupiga piga kidogo kidogo ili kuamsha au kuhamasisha msukumo wa damu. Baada ya hapo uume huanza kusimama taratibu na endapo utasimama basi inabidi uwahi tendo na kama utachelewa, basi uume utalala na kushindwa tena kufanya tendo kwa siku hiyo.
Mwanamke yeye daima huwa mkavu na wakati wa tendo hapati hisia zozote hadi tendo linapokwisha na kama mwanaume hana tatizo lolote na mwenye nguvu za kutosha basi mwanamke atapata michubuko na maumivu na kuhisi karaha ya tendo na hawezi kufika kileleni.

UCHUNGUZI
Tatizo hili kama tulivyoona husababishwa na magonjwa mbalimbali, pia yapo matatizo na magonjwa mengine yanyochangia hali hii, magonjwa kama kisukari, endapo ugonjwa utakuwa wa muda mrefu unaweza kuathiri hali hii.
Tabia ya kujichua kwa mwanaume na mwanamke pia huweza kuathiri au kusababisha tatizo hili kama mtu atakuwa amejichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani msukumo wa damu sehemu za viungo vya uzazi utakuwa umeathiriwa.
Viungo vya uzazi vinaweza kupooza kutokana na hitilafu katika mishipa ya fahamu. Mishipa ya fahamu inapoathirika viungo hupooza (paralysis of genitalia) na mwanaume kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa na ukeni hakuna kabisa mawasiliano yanayoleta msisimko.
Vipimo vya damu na mkojo na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa vitafanyika.

MATIBABU NA USHAURI
Tiba hutolewa kadiri daktari atakavyoona inafaa. Matibabu hutolewa katika kliniki za matatizo au magonjwa ya kinamama ambapo na kina baba hutibiwa matatizo haya.
Baada ya uchunguzi tiba itatolea kuona kama hitilafu ni maambukizo au katika mfumo wa homoni. Wahi hospitali kwa uchunguzi na tiba zaidi.

Ukitaka Matibabu yangu nitafute Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Mwanangu hiyo kitu inanipa shida sana kuelewani kweli naweza kupata dawa nikawa sawa
 
Just and careful examine your Avatar (Umeinama tayari), So wewe Ndiye "BwaBwa"...Nimekuumiza, Ila Umeyataka

Mwenyewe Mzee "Bwabwa".
Mkuu si kweli mi naona Avatar ndo inapinga tendo lenyewe

hizi zinatumika kuonyesha against the act eg sigara, cross way, gay
 
Kama umeacha punyeto jitahidi pia kuacha kubana haja kubwa..hiyo pia ni sababu ya uume kulegea na kuwa hovyooooooo!!!
[emoji267] *UNGA WA LUB'UNGWA* [emoji267]
☘[emoji263]NI MUJARABU KWA MATATIZO HAYA[emoji116][emoji263]☘
[emoji117]1-Kuongeza mbegu za kiume
[emoji117]2-kushindwa kurejea tendo baada ya mshindo wa kwanza
[emoji117]3-kuwahi kufika kileleni
[emoji117]4-Walioathirika na punyeto (inamrudisha kwenye hali ya mwanzo)
[emoji117]5-Kuimarisha misuli ya uume
[emoji117]6-Mwanamke asiyekuwa na hamu ya tendo la ndoa
[emoji117]7-Kiuno
[emoji117]8-Vichomi
[emoji117]9-Chango
[emoji117]10-Tumbo kuuma
[emoji269][emoji263]MATUMIZI [emoji263][emoji269]
Chukua unga wake nusu kijiko cha chai kwenye maji moto kikombe kimoja x mbili kwa siku tumia siku 7 tu inaanza kufanya kazi baada ya masaa manne na haina madhara yoyote kwa mtumiaji pia ni tiba ya kudumu

Makumbusho Dar
+255 655 821 550
Sulayman Sangida
 
Kwa sehemu kubwa uume kushindwa kusimama wakati wa tendo ni tatizo la kisaikologia na kiufahamu!
Nitakuuliza: Kijana mdogo anaweza kukimbia toka nyumbani mpaka shuleni urefu kama kilometa 2-3 bila shida! Mzazi hawezi na akijaribu atachoka sana, kwa nini? Itashangaza kama mzee alikuwa anatarajia ataendeleza uwezo wake wa kukimbia hata akiwa mzee! Tatizo liko hapo! Miaka 40 na kuendelea kubalini kuwa ni kawaida nguvu za kiume kupu ngua! Huhitaji kwenda hospitali! Huo ni ufahamu!
Ukiwa na ufahamu huo tatizo halitakuwa kubwa na utafanya tendo LA ndoa kwa kutumia akili zaidi kuliko mihemuko!
Mabao utapiga kidogo lakini yenye akili kiasi cha kumtosheleza kabisa mkeo kuzidi aliyepiga magoli mengi lakini yasiyokuwa na tija!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…