H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 Jul 24, 2025 #1 Hao wagombea kupitia vyama vya siasa ni mafisi bora katiba itambue mgombea binafsi ambaye atapitishwa na wananchi kwaajili ya wananchi na siyo kundi la watu wanaojiita chama cha siasa iwe chama tawala au upinzani.
Hao wagombea kupitia vyama vya siasa ni mafisi bora katiba itambue mgombea binafsi ambaye atapitishwa na wananchi kwaajili ya wananchi na siyo kundi la watu wanaojiita chama cha siasa iwe chama tawala au upinzani.