Suluhisho la ugonjwa unaokusumbua

Suluhisho la ugonjwa unaokusumbua

Nyabiri

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
58
Reaction score
38
Habari,

Nyabiri tiba asilia ni kituo kinachotoa huduma za matibabu kwa kutumia dawa zinazotokana na mimie. dawa zetu ni za asili hazichanganywi na kemikali yoyote na ni dawa za uhakika.


Tunacho kifanya baada ya kupata maelekezo ya mgojwa na kujiridhisha na vipimo tunanautafuta mti/mmea husika,tunauandaa na kisha kumpatia mgonjwa kwa ajilia ya matumizi.Angalizo hatuhusiki kabisa na imani za kishirikina dawa zetu ni za kutibu maradhi ya mwili tu. njoo sasa upate suluhisho la tatizo linalo kusumbua.


Baadhi ya mimea tunayo itumia ni;

1.Umnyole - mizizi

2.Ikimusi - mizizi

3.Umunyente - majani

4.Nyagasarale - majani

5.shubiri

6.Mgomba - utomvu

7.Ikiiri - majani

8.Igisurura - mizizi

9.Mpera - majani

10.chavulio za mahindi

11.nanasi

12.mpapai na utomvu wake na mingine mingi.

Mimea nilioitaja hapo juu baadhi inachanganywa na mimea mingine ambayo sikuitaja.


Baadhi ya magonjwa tunayotibu ni;

1.Ugumba/utasa

2.Vidonda vya tumbo

3.maumivu ya mgongo

4.kukosa choo

5.ugonjwa wa moyo

6.upungufu wa nguvu za kiume

7.magonjwa ya ngono

8.UTI sugu

9.kuota nyama sehemu za siri (BAWASIRI /HEMORRHOIDS)

Na mengine mengi.


Karibuni saana acheni kuteseka mungu aliumba dunia hii na akaijaza vitu vya kila aina na baadhi ya vitu hivyo alivibariki na kumruhusu mwanadamu kuvitawala na kuvitumia njoo upate tiba.

mimea tunayoitumia imewasaidia wengi ambaao walikua na shida kwa muda mrefu wengine walikua wanaachika kutokana na kutokua na uwezo wa kushika mimba nataka nikwambie uhakika wa kupona tatizo hilo ni wa asilimia 100 kikubwa ni wewe kuchukua hatua.


Tunapatikana mwanza mtaa wa igoma karibu na soko la igoma.

Tutafute kwa namba zifuatazo

0743708675 au

email nyabiritibaasilia@gmail.com
 
Ahaa sawa rubii nimekusoma japo sijaelewa dawa unayotaka nia ya usingizi upi,unalala saana au unakosa usingizi? ila dawa zipo, kwanza naomba nikufafanulie kuhusu tatizo la kukosa usingizi.

kuna aina tatu za matatizo ya kukosa usingizi
kukosa usingizi kunaweza kuja kwa aina tatu yaani kukosa usingizi ghafla, kukosa usingizi mara moja moja au kukosa usingizi kwa muda mrefu sana.
hali hii ya kukosa usingizi husababisha matatizo mbalimbali kama kunenepa,kupoteza kumbukumbu, kushindwa kufaulu darasani, kushindwa kua makini na kazi, kuchoka sana,wasiwasi, mgandamizo wa mawazo, na hatari ya kupata magonjwa yasiyotibika kama ugonjwa wa presha na kisukari.

nini husababisha kukosa usingizi?
kuna sababu mbalimbali zinazoweza kukukosesha usingizi hizi ni baadhi;
mabadiliko ya mfumo wa maisha; hii inaweza kusababishwa na kazi unayofanya kama kuanza kufanya kazi usiku...kazi za ulinzi, kazi za uuguzi, na kadhalika lakini pia kuishi sehemu yenye kelele sana,kusoma sana usiku, baridi sana au joto sana.
matatizo ya kisaikolojia; watu wenye msongo wa mawazo unaosababishwa na matatizo mbalimbali kama kukosa ajira, matatizo ya kiuchumi, kuvunjika kwa mahusiano, magonjwa ya akili, kua na wasiwasi sana wa mambo yanayokuja, wasiwasi wa kuibiwa mali zako ukiwa ndani umelala hasa wamiliki wa magari na mali zinazolala nje.
magonjwa mbalimbali; kuugua magonjwa fulani fulani huweza kumfanya muhusika kukosa usingizi kabisa wakati wa kulala mfano pumu au asthma, magonjwa ya moyo, maumivu makali ya sehumu ya mwili,kiharusi, madonda ya tumbo, maumivu ya jino, na kansa mbalimbali.
mabadiliko ya kiwango cha homoni; hii hutokea wakati wa kipindi cha hedhi ambapo kunakua na mabadiliko madogo ya homoni za uzazi, kipindi cha ujauzito na ugonjwa wowote unaobadilisha kiwango hicho.
teknolojia; kulala na simu na kuendelea kuchati, tv au komputa chumba cha kulala,michezo ya gemu na kadhalika..hii imeathiri sana watu wengi kwani siku hizi kabla ya kulala utamkuta kila mtu anachezea simu angalau saa moja.
dawa mbalimbali; kuna dawa nyingi sana ambazo zimetajwa kunyima watu usingizi kama ifuatavyo
dawa za presha mfano propanolol,metoprol,losartan,atenolol,metoprol, captopril,enapril na solatol,lisinopril
dawa za msongo wa mawazo mfano fluoxetine na paroxetine
dawa za kushusha kiwango cha lehemu mwilini mfano simvastatin,rosuvastatin,lovastatin.
dawa za kupunguza maumivu ya mifupa mfano chrondotin na glucosamine
dawa za kutibu aleji mfano cetrizine
sababu zingine mfano kulala sehemu yenye kelele nyingi, kulala na mtu anayekoroma usiku, kulala sehemu yenye wadudu kama mbu na chawa.

Rubii hizo ni baadhi ya sababu ambazo zinaweza kukusababishia tatizo la kukosa usingizi.sijajua unapatikana mkoa gani make tuna mfumo wa kuwatumia wagonjwa dawa popote walipo au kama fika kwenye kituo chetu tutakusaidia.
ahsante!
 
Mkushi wa kusi na joseverest nimewasoma vyema, mkushi unahitaji dawa ya UTI sugu, karibu tunayo daya ambayo itakuondolea tatizo hilo ndani ya siku 5 tu utapona kabisa.Tupigie kupitia simu namba 0743708675 au tuandikie kupitia email nyabiritibaasilia@gmail.com asante bwana mkushi.


Jose verest pia na wewe nimekusoma vyema kabla ya yote naomba ufahamu mambo yafuatayo;

1. Umjali mkeo,
Ni wajibu wa mume kumlisha mkewe kumvisha na kumtimizia mahitaji yake yote.
Unaweza ukasoma pia ktk biblia kitabu cha 1 Wakorintho 11:3, Lakini napenda muelewe kwamba Kristo ni kichwa cha kila mwanamume, kama vile mume alivyo kichwa cha mkewe, na Mungu ni kichwa cha Kristo.

Soma tena Waefeso 5:23 Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwenyewe ni Mwokozi wa kanisa.

2. Ampende mkewe:
Waefeso 5:33 Hata hivyo kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake. Upendo ni nguzo ya Pili na pia ni moja ya tunda la Roho katika ndoa. Hapa naomba nieleze hii ndoa inayoongelewa ni ya Kikristo hivyo upendo huu hauwezi kuutenga na upendo wa Kristo kwa ujumla, je upendo unaelezwaje katika Biblia?
Kwanza soma Warumi 12:10 Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa kindugu. Waheshimuni wengine kuliko mnavyojiheshimu wenyewe.

Pili soma 1 Wakorintho 13:4-8 Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno.Unatakiwa ummpe mahitaji yake bila kujali nani anazalisha zaidi, usijali cheo au elimu yako na yake Maana katika ndoa mwingine anaweza panda zaidi ya mwingine lakini sio sababu ya kumwacha kwa kujiona utaonekana duni.

hivyo basi kwa kumalizia napenda nikwambie kuwa swala la mke kukuomba hela ni haki yake na unapaswa kumtimizia.

ANGALIZO
- hakikisha ni mke wako wa ndoa.
Asante kwa kunielewa!
 
Asante robert pamoja na ze heby kwa maswali na maombi yenu,
Robert , gharama zetu ni ndogo saana lengo letu ni kusaidia.Endapo tutabaini kwamba kweli una vidonda vya tumbo tutakupa dawa utakayo tumia kwa muda wa wiki moja kwa shilingi 20,000 tu na utapona kabisa. tupigie simu kupitia namba 0743708675. au kwenye email id; nyabiritibaasilia@gmail.com

Ze heby, Uwezekano wa kukupa dawa na kulipa baada ya kupona upo na niwengi tuliowasaidia kwa njia hio ila unatakiwa ufike ofisini kwetu tufanye makubaliano maalum then tutakupa dawa kwa kukuamini kulingana na tatizo ulilo nalo. ila kuna baadhi ya magonjwa ambayo ni vigumu kupata dawa bila hela kwa sababu madawa husika huwa tunatumia gharama kuyapata na kuyaandaa. karibu saana.
 
Habari,

Nyabiri tiba asilia ni kituo kinachotoa huduma za matibabu kwa kutumia dawa zinazotokana na mimie. dawa zetu ni za asili hazichanganywi na kemikali yoyote na ni dawa za uhakika.


Tunacho kifanya baada ya kupata maelekezo ya mgojwa na kujiridhisha na vipimo tunanautafuta mti/mmea husika,tunauandaa na kisha kumpatia mgonjwa kwa ajilia ya matumizi.Angalizo hatuhusiki kabisa na imani za kishirikina dawa zetu ni za kutibu maradhi ya mwili tu. njoo sasa upate suluhisho la tatizo linalo kusumbua.


Baadhi ya mimea tunayo itumia ni;

1.Umnyole - mizizi

2.Ikimusi - mizizi

3.Umunyente - majani

4.Nyagasarale - majani

5.shubiri

6.Mgomba - utomvu

7.Ikiiri - majani

8.Igisurura - mizizi

9.Mpera - majani

10.chavulio za mahindi

11.nanasi

12.mpapai na utomvu wake na mingine mingi.

Mimea nilioitaja hapo juu baadhi inachanganywa na mimea mingine ambayo sikuitaja.


Baadhi ya magonjwa tunayotibu ni;

1.Ugumba/utasa

2.Vidonda vya tumbo

3.maumivu ya mgongo

4.kukosa choo

5.ugonjwa wa moyo

6.upungufu wa nguvu za kiume

7.magonjwa ya ngono

8.UTI sugu

9.kuota nyama sehemu za siri (BAWASIRI /HEMORRHOIDS)

Na mengine mengi.


Karibuni saana acheni kuteseka mungu aliumba dunia hii na akaijaza vitu vya kila aina na baadhi ya vitu hivyo alivibariki na kumruhusu mwanadamu kuvitawala na kuvitumia njoo upate tiba.

mimea tunayoitumia imewasaidia wengi ambaao walikua na shida kwa muda mrefu wengine walikua wanaachika kutokana na kutokua na uwezo wa kushika mimba nataka nikwambie uhakika wa kupona tatizo hilo ni wa asilimia 100 kikubwa ni wewe kuchukua hatua.


Tunapatikana mwanza mtaa wa igoma karibu na soko la igoma.

Tutafute kwa namba zifuatazo

0743708675 au

email nyabiritibaasilia@gmail.com
Mkuu mbona hupatikani?
 
Back
Top Bottom