Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Alaaaaa!!! Aiseee!! Kumbe basi nitaendelea kuitumia,siachi ng'o. Asante sana EMT kwa somo zuri. Labda nisaidie hiyo juice naweza kuchanganya na nini? Au nakoroga tu na maji.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
EMT na MziziMkavu Ila hapa naomba kujuzwa kidogo hiyo picha kwenye reply ya EMT si KOMAMANGA? Huwa nasikia sikia inahusika sana kwa wanaume, je kwetu sisi inahusika? MziziMkavu picha ya KUNGUMANGA please ili tutofautishe haya matunda.
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu everlenk Kwa kunipa Feedback ya Dawa yangu niliyokupa uwafundishe na wanawake wengine Faida ya dawa ya Kungumanga ili na wao nyumba zao zipate kusimama zisihariibike unasemaje kwa hilo?

Kwa hili kwakweli nimekuwa mwalimu mzuri na nitaendelea kuwapa somo hili,natanguliza shukrani zangu tena na tena asante kwa hili. Na kama yapo maujuzi mengine si mbaya ukanipatia si unajua tena mwanajeshi anatakiwa kuwa na silaha mbalimbali na ajue kuzitumia zote ili ashinde vita,si unajua tena michepuko ipo vitani sasa inabidi idhibitiwe kikamilifu.
 
Last edited by a moderator:
EMT na MziziMkavu Ila hapa naomba kujuzwa kidogo hiyo picha kwenye reply ya EMT si KOMAMANGA? Huwa nasikia sikia inahusika sana kwa wanaume, je kwetu sisi inahusika? MziziMkavu picha ya KUNGUMANGA please ili tutofautishe haya matunda.

"Kungumanga kwa Kiingereza inaitwa nutmeg. Kungumanga hutumika kama dawa ya kuongeza nguvu za kiume kwa wenye upungufu kwa sababu moja au nyingine, na baadhi ya wanawake hutumia kwa kuamini inawalegeza na kuwatia ashiki kwa waume zao.

Lakini vyote hivyo hatuna uthibitisho nao, ni madai ya watu na yanaweza kuwa kweli au uongo. Hatukufundishwa katika Sunnah matumizi ya hiyo kungumanga kama hivyo inavyotumiwa, na pia hakuna maelezo ya kidaktari yanayoonyesha kuwa hayo yanayodaiwa ni ya kweli."

Picha niliyoweka ni ya pomegranate aka komamanga.
 
Last edited by a moderator:
EMT na MziziMkavu Ila hapa naomba kujuzwa kidogo hiyo picha kwenye reply ya EMT si KOMAMANGA? Huwa nasikia sikia inahusika sana kwa wanaume, je kwetu sisi inahusika? MziziMkavu picha ya KUNGUMANGA please ili tutofautishe haya matunda.
Bibie everlenk Hii ndio Picha ya KUNGUMANGA Au kwa Jina La kiingereza inaitwa jina hili (Nutmeg)

Asante sasa nimekusoma,uthibitisho ndo huo nimekupa kwahiyo tuendelee na tafiti zaidi,lol
 
Good luck and all the best during this kujikungumalize process, and please always remember that too much of anything is ............ Hmmmmm! Macho nayaona yameanza kunanihii πŸ™‚πŸ™‚

Haya ngoja mimi nijikungumangalize ready for.....uwe na wakati mwema.
 
Good luck and all the best during this kujikungumalize process, and please always remember that too much of anything is ............ Hmmmmm! Macho nayaona yameanza kunanihii πŸ™‚πŸ™‚

He!!ha ha ha!!! Ni kweli kabisa,hizo ni mbwembwe tu usiku mnene huu wote hapa deshi linapita labda kimorning glory .
 
Reactions: BAK
Wewe nizuge tu. Utakosa bahati ujue!!! We kubali Ntuzu akulaghai tu.
Hahahahaa shemdarling unachukua mke wa nduguyo af unajitangaza loh.....mi nataka kuleta feedback bwana kama we bado mi tayari
Mmmmhh huu uzi sijausoma....nikiolewa nitaupitia post kwa post...neno kwa neno.

Amka na BBC. Hahahahahaaaa.
He!!ha ha ha!!! Ni kweli kabisa,hizo ni mbwembwe tu usiku mnene huu wote hapa deshi linapita labda kimorning glory .
PM zake ni ngapi eti? Shemeji hebu nipelekee password yako mara moja!!! New traffort ya LVG hahahhahaa BAK .
Hahahahahaha lol! Mkuu hii si Old Trafford bali ni New Trafford ndiyo sababu pm zake kwa siku ni zaidi ya 300 πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

CC: everlenk AKA New Trafford
 
Last edited by a moderator:
Na hii mvua Morning glory tamuje??? Unaweza jikuta unaongea lugha za malaika tu.
Wewe nizuge tu. Utakosa bahati ujue!!! We kubali Ntuzu akulaghai tu.

Amka na BBC. Hahahahahaaaa.

PM zake ni ngapi eti? Shemeji hebu nipelekee password yako mara moja!!! New traffort ya LVG hahahhahaa BAK .

Wewe BAK wewe!!! Unamuona huyu Tized anataka kukuza jina!!! Yaani sasahivi ni New new mashuti kwa kwenda mbele kila match nikuibuka na point 3 , halafu Tized nimeshakwambia ulete mrejesho na mimi ntakupeleka ICC, Lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa niko kwa mkoloni mwenzio, usijenifanya nianze kuvusha yasiyonipasa kuvusha hapa... hahahahahaa

Hapana bhana usinipeleke ICC, nitakuletea mrejesho PM lakini, Nikiweka mrejesho hapa hadharani PM yangu itavamiwa sana na uzee woote huu itakua balaa. Niseme tu, Hapa ni pozi kwa pozi, ngazi kwa ngazi, burdaaaaani!!!!!. Mambo mswano. Jina nimelifuta shemeji yangu.

Pole weeee!! Kumbe!!! nimekusamehe piga kazi kwanza, embu kagua kwanza suruali yako imekaa fresh.....lol
 
Mie simoooo!!!! lol!!!! hahahahahaha nilishaacha kutumia jina hilo tangu usiku wa manane. Ukinuna πŸ™‚πŸ™‚ Mkuu Tized naye ataacha.

Last edited by a moderator:
Mie simoooo!!!! lol!!!! hahahahahaha nilishaacha kutumia jina hilo tangu usiku wa manane. Ukinuna πŸ™‚πŸ™‚ Mkuu Tized naye ataacha.

Haya bana ,nikimnunia na huyu sasa ntakuwa mama manuno loh!! Halafu ujue nakununia wewe tu sijui kwanini? ntakuwa niliruka stage ya kununa hivi eh....... Wangu Mzima lakini??
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha lol!!!! Ulisahau kupita katika ile dept kule kwa Muumba wetu ambayo hugawa tabia za kununanuna πŸ™‚πŸ™‚ sasa inakula kwako lol!!! Aisee niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu mwaka huu pia umekuwa mzuri sana kwangu naomba ni hizi siku chache zilizobaki ziishe salama na maandalizi ya Xmas na mwaka mpya ndiyo yanaendelea kwa kasi. Nategemea nawe umzima ukiendelea vizuri na maandalizi ya Xmas na mwaka mpya, kila la heri na baraka katika maandalizi yako.

Haya bana ,nikimnunia na huyu sasa ntakuwa mama manuno loh!! Halafu ujue nakununia wewe tu sijui kwanini? ntakuwa niliruka stage ya kununa hivi eh....... Wangu Mzima lakini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…