Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Nitric oxide (NO) plays a crucial role in reproduction at every level in the organism. In the brain, it activates the release of luteinizing hormone-releasing hormone (LHRH). The axons of the LHRH neurons project to the mating centers in the brain stem and by afferent pathways evoke the lordosis reflex in female. In males, there is activation of Nitrogen Oxide ergic terminals that release Nitrogen Oxide in the corpora cavernosa penis to induce erection by generation of cyclic guanosine monophosphate (cGMP). Nitrogen Oxide also activates the release of LHRH which reaches the pituitary and activates the release of gonadotropins by activating neural Nitrogen Oxide synthase (nNOS) in the pituitary gland. In the gonad, Nitrogen Oxide plays an important role in inducing ovulation and in causing luteolysis, whereas in the reproductive tract, it relaxes uterine muscle via cGMP and constricts it via prostaglandins (PG).
 

Habat soda ni nini???
 
hii kitu kama mtu unampenda mbona itasimama dede tuu ila kama umeopoa lingariba lako somewhere ukipiga moja haitasimama ng'o labda utumie viagra. Ila mimi nasisiiza sana kwa watu walio wapenzi,SHIBE, MAZOEZI, MAANDALIZI YA MWEZI WAKO, USAFI WA SEHEMU TENDO LINAPOFANYIKIA, USAFI WENU WAHUSIKA VINAMATA SANA KWENYE KUNOGESHA NA KUFANYA NYOTE MUWE NA HAMU YA KUENDELEA TU AUTOMATICALLY BILA KUJALI MAMBO YA NGUVU ZA KIUME AU ZA KIKE.Imaging unafanya tendo la ndoa na mwanamke shombo ya samaki kali pale tu unapoanza romance hata uchupi hujautoa hahahahaha hapo ujue tayari akili yako ishajiweka vibaya mechi haiwezi kuwa ya muda mrefu tena. Au mwanaume unakuta upumbu, boxer na kwapa viko vibaya huyu mwanamke hatofika hata ukitumia mbinu gani na wako sentive sana na harufu hawa viumbe. Nawakilisha
 
Masuala ya kupungukiwa nguvu za kiume au kuwahi kumaliza wakati mwingine ni matatizo ya kisaikolojia. Wenye shida kama hii nitafuteni
 

uko sahihi kaka
 
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa kwa sasa.
 
Licha ya kuwa na faida nyingine kedekede, Sifa yake kubwa ni uwezo wa kuuongezea mwili nguvu kwa uharaka zaidi kutoka na wingi wa sukari ya asili iliopo kwa miwa (high source ya glucose) ndg na Dr. MziziMkavu atatusaidia zaidi.

Dokta nikuombe pia ukipata wasaa angalau utudadavulie pia mchango wa juice ya Tende kwenye afya ya uzazi ya mwanaume maana kuna mitaa ukipita vibanda na matangazo ya hii juice mitaani yameongzeka kwa kasi na vijana wanaikimbilia sana kwa taarifa kuwa inaongeza nguvu za kiume.

Vp kuhusu juice za miwa mkuu
 
Last edited by a moderator:
sasa ni kuanza kujaribu maana mabao mawili yamenichosha nataka kukesha kama zamani
 

Juice ya mchanganyiko wa tende,korosho na maziwa acha kabisa hii kitu inarudisha heshima na kuendelea kuboresha kwa wenye heshima zao. Napita tu Shem Dokta MziziMkavu yupo njiani anakuja......
 
Last edited by a moderator:
''Kwa neno lako nitashusha nyavu"
Juice ya mchanganyiko wa tende,korosho na maziwa acha kabisa hii kitu inarudisha heshima na kuendelea kuboresha kwa wenye heshima zao. Napita tu Shem Dokta @MziziMkavu yupo njiani anakuja......
 
''Kwa neno lako nitashusha nyavu"

Hahahaha!!! Nyavu zipo za kutosha na mtumbwi je? Kina Yohana na Yakobo wapo ili wakusaidie kuzivuta hizo nyavu?? Baraka hizi zisije zikakuzidi.......lol
 
Niko nao Ubungo na Rev. Adam Haji Mohamed hapa.
Hahahaha!!! Nyavu zipo za kutosha na mtumbwi je? Kina Yohana na Yakobo wapo ili wakusaidie kuzivuta hizo nyavu?? Baraka hizi zisije zikakuzidi.......lol
 
Dah!!! Haya maufundi mm nayatamani xana thnx kwa kuwajulisha vijana wanaotaman yale maswala kila wakat laiti wangependa kazi kama mm wqngefika mbali kwa muda wanaoutumia kujadili haya!!!!
anza tumia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…