Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Mbona mm nikipiga cha kwanza inasinyaa kwa muda cha pili tena hivyo na cha tatu hivyo inasinyaa kwa muda wa dakika moja tatizo nn?
 
Mimi nikipiga kwanza inasinyaa kwa dk moja mbili hivi then inasimama tena cha pili vivyo hivyo na tatu,kwani hili ni tatizo gani?
 
kumbe niko fit bado nilijua niko jua la jioni kwa hii post ndio kwanza nipo saa sita mchana
 
kwenye kipengele cha mazoezi..ongezea the so called "kegel exercises" ili kuimarisha stamina ya misuli uume...inapelekea strong and hard erection..ni nzuri mno ii ki2 wadau
Mkuu ungetupia hayo mazoezi tupate jifunza
 
Kula vizuri....vyakula

vitiavyo nguvu mwilini

Mazoezi

Kuwa na mahusiano mengi hakumtii Mtu urijali....rather humchosha tu..

Kuwa na mwenza unaempenda na kuwa na amani nae
Well said, you made a good points mkuu.
 
Wanajukwaa!! Leo ni mara yangu ya kwanza kuchangia kwenye uzi huu, sijawai kuwa na masihara na wala sijulikani kwa sifa hiyo....ila nina jambo muhimu ambalo kwa atakayeona inamfaa na kumpendeza atanitafuta.

Kuhusiana na hili swala la kushindwa kupiga mishindo katika tendo la ndoa, ukiachana na hayo aliyoyaleta mtoa mada dawa ipo 100% reliable, dawa hii ni ya asili, inaitwa NGANZI, dawa hii ni guarantee! Inaupa uume nguvu mara kumi zaidi. Kwa aliye interested na hii kitu anicheki PM, watu kumi wa kwanza punguzo la bei kwa asilimia 10%......Bei ya hii ngazi ni fair ukilinganisha na ukubwa wa tatizo. 25k per dozi.
 
Mimi nikipiga kwanza inasinyaa kwa dk moja mbili hivi then inasimama tena cha pili vivyo hivyo na tatu,kwani hili ni tatizo gani?
Hakuna tatizo Bali umebarikiwa mshukuru aliyekuumba......
 
Samahani wakuu,
naomba kujua : ni madhara ama faida gani azopata kijana wa kiume mwenye umri wa kati ya miaka 20-25 ambaye hajawahi kujamiiana wala kupiga punyeto kipindi chote cha maisha?!.
Anaweza akaja kuwa shoga
 
Mkuu ungetupia hayo mazoezi tupate jifunza
Hii kegel Excessize tulifunzwa mapemaa jandoni na kweli inasaidia sana,inahusisha suala la kuzuia mkojo. Mfano unakunywa maji au chai nyingi then wakati ukibanwa na mkojo unaenda toilet then unauacha mkojo uje na uwe kabisa unakaribia kutoka,then unauzuia kwa kuziba mishipa iliyo katikati ya Mkun*du na Kende, utagundua kuwa dudu linavimba haswa.

Fanya hivyo kwa robo saa kila siku asbh na jioni. Baada ya wiki moja tu utaanza kudelay kuejaculate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…