Mkuu unachoface wewe ni tatizo la kisaikolojia ambalo litazidi kuendelea kama usipochukua hatua.
Wala haiitaji kwenda kwa daktari kupata tiba, ni wewe mwenyewe tuu. Ukienda kukutana na mwenzi wako usiwaze kwamba hautoErect, toa kabisa mawazo hayo, jiambie kwamba wewe ni mwanaume kamili na lazima utaErect kama zamani. Jitahidi pia kufanya maandalizi ya kutosha(foreplay) kabla ya mchezo na katika muda wote utoe mawazo yako katika kufiria kutoErect.
Angalizo: Kama unacheat, hata ufanye nini hilo tatizo haliwezi kuisha, unless uwe umekubuhi katika sekta ya kucheat