Naomba nianze kuchangia.......
1.UWEZO WA KURUDIA TENDO MARA NYINGI.
Ifahamike kuwa lengo kuu la kufanya mapenzi sio starehe au kujifurahisha bali ni kufanya uumbaji.Katika viumbe vyote duniani ni binadamu na dolphin tu ndo hufanya mapenzi kama starehe.
Sasa kwa kuwa binadamu tumebadikisha lengo la kufanya mapenzi kutoka kwenye uumbaji hadi kwenye starehe,manake inatakiwa tuwe na mbinu za ziada ambazo zitatuwezesha kufanya mapenzi kuwe kama njia ya kujistarehesha.
Ntajikita kwenye mambo mawili tu ambayo ni kumwaga shahawa na kufika kileleni ili kuelezea swala hili la kuweza kurudia rudia tendo.
Katika kufanya tendo kama starehe,kinachosababisha kupatikana kwa starehe hiyo ni hile hali ya kufika kileleni wakati katika kufanya mapenzi kwa lengo la uumbaji,kinachosabisha uumbaji huo ni tendo la kumwaga shahawa/goli.
Hivyo basi kila mtu afahamu ya kuwa kumwaga shahawa ni kwa ajili ya uumbaji na kufika kileleni ni kwa ajili ya starehe.
Hii inamaana ya kuwa kabla haujaanza kufanya mapenzi lazima ujue lengo lako kwa siku hiyo ni nini?
Kama lengo ni kupata starehe tu manake huna haja ya kumwaga SHAHAWA,maana kumwaga shahawa na kufika kileleni ni mambo mawili tofauti.
Narudia tena,kuna utofauti mkubwa sana kati ya kumwaga shahawa na kufika kileleni kwani unaweza kumwaga shahawa bila kufika kileleni na unaweza kufika kileleni bila kumwaga shahawa.
Ili kueleweka hapo vizuri ntatumia makundi mawili ya wanaume kwa maana ya wavulana(wanaume ambao hawajabalehe) na watu wazima(wanaume ambao wamesha balehe).
Wavulana(ambao hawajabalehe) huwa wanaweza kufika kileleni bila kumwaga shahawa kwa sababu kwa muda huo shahawa bado zinakuwa hazijatengenezwa kwenye miili yao.
Haki hii upelekea wavulana kuwa na uwezo wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu na kupata vilele kuanzia tisa na kuendelea.
Wanaume ambao tayari bwashabalehe huwa na uwezo wa kumwaga shahawa na kufika kileleni.ila wanaume hawa hawana uwezo wa kufikisha vilele zaidi ya kimoja kwa wastani bila uume kusinyaa kwa muda na kisha kuendelea tena baadae.
Hali hiyo husababiswa na kitendo cha wanaume hao kushindwa kuzizuia shahawa zisitoke au kushindwa kutenganisha kumwaga shahawa na kufika kileleni.
Hivyo basi mwanaume yeyote ambaye atajifunza namna ya kufika kileleni bila kumwaga shahawa basi uume wake hauta sinyaaa hata siku moja akiwa anafanya tendo na atakuwa na uwezo wa kufanya tendo kwa muda atakao.
Kwa kufupisha nilichoongea hapo juu ni kwamba wanaume wanatakiwa kujua namna ya kufika kileleni bila kumwaga shahawa kama wwnataka kupata vilele vingi na kuwa na uwezo wa kufanya mapenzi watakavyo bila kuchoka.
2.NGUVU ZA KIUME.
swala hili limekuwa likipotoshwa kwa muda mrefu sana kwani watu wanajua nguvu za kiume ni uwezo wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu kitu ambacho sio sahii.
Mwili wa binadamu huwa na nguvu za aina nyingi kama nguvu ya kufanya mapenzi(nyege),nguvu za kiume nk.
Nguvu za kiume manake ni uwezo wa mbegu ya kiume kutunga mimba na wala haina uhusino na uwezo wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu.
Ifahamike ya kuwa kwenye shahawa huwa kuna vitu viwili,majimaji na mbegu za kiume.
Mchanganyiko huu wa maji maji na mbegu za kiume ndo huitwa shahawa.
Sasa kazi ya majimaji hayo huwa ni kubeba na kusafirisha mbegu za kiume kutoka sehemu zinapohifadhiwa na kwenda kwenye mji wa mimba ili kutunga mimba.
Sasa mbegu hizo ndani huwa na NGUVU kubwa sana ambayo hubeba uhai kwani mara baada ya mbegu hiyo kukutana na yai la mwanamke mimba hutungwa na uhai unapatikana.
So kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kujua kuwa nguvu iliyopo humo sio ya kawaida kwani inaweza kuleta hata uhai.
So unaposikia mtu hana nguvu za kiume manake ni kuwa kuna uwezekano mwili wake ukawa unazalisha mbegu na mbegu hizo zikawa zinalifikia hata yai la mwanamke lakini likifika kwenye yai mbegu hii inashindwa kutunga mimba na kufanya uhai usipatokane.hii ndo maana ya mtu kutokuwa na nguvu za kiume.
3.MAZOEZI.
naomba kuwafahamisha ya kwamba mazoezi ambayo mwanaume anatakiwa kufanya ili awe kizuri katika kufanya tendo la ndoa sio hayo ya kwenda jim,kukimbia,kuruka kamba au yoyote ambayo yanalenga kujenga mwili.
Mwanaume anatakiwa kufanya mazoezi ya kuimarisha figo,matako,ulimi,korodani na moyo ili aweze kuwa vizuri kitandani kwa sababu vitu hivyo ndo vinauhusiano mkubwa sana na ufanyaji wa TENDO la ndoa kuliko kujaza mikono,vifua na mangine ya aina hiyo.
Naomba niishie hapa kwa sasa kwa mana yako mengi sana ya kuzungumza na hata nikitumia siku nzima sitayamaliza ila nimejitahidi kuandika kwa kifupi sana ili kutoa kamchango kangu.