Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

fanya squarts,kimbia,penda kutumia tikiti na limao,yaana tikiti saga juisi(lita moja) pamoja mbegu zake,chemsha juisi,mvuke utakapotoka tia maji ya malimao matatu,wacha ichemke hadi maji yaishe,tia hii kila siku kama utaweza
 
mimi ni mvulana miaka 17 ninaombeni msaada wenu kwasababu nilikuwa nafanya masturbation bila kujua madhara take sasa naona kama kuna mabadiliko katika mwili wangu uume umelegeea na mawazo mengi samahanini sana ninaombeni msaada wenu
Umepiga sana mdamchache kunawalio piga miaka mitatu nabado hawajathirika inategemeana naupigaji wako ukijizoesha kupiga ukiwa umeconcetrat unapata tatizolakuwahi kufika kileleni naukiwa unapiga kimoja tu unaacha BC ubongo unazoea naunapata matatizo kama hayo ilawewe unashindwa kusimamisha sababu umeji over chaputa kwahiyo kiasi chamanii nikidogosana namishipa yauume ishalegea


TIBA

Fanya mazoezi yaviungo na kegel
Kula mlowamaana wenye virutubisho
Matunda
Mbeguzamaboga mbichi

NB usipige tena nyeto

1moth utarudikwenye hali yako
 
Angalizo wakati unafanya kegel unahitaji uconcetrate kwenye hayomazoez sio unafanya ukiwa unawaza mambomengine hutoona matokeo
 
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama wew hili tatizo limekusumbua kwa mda mrefu na umetumia dawa zote hazijafanya kazi nitafte inbox au kwa namba hi WhatsApp+255769765512. Usipopata matokeo ndani ya siku 30 pesa yako inarudishwa
 
Chakula wanacho kula masai ndio bora kwa sababu mashine ya kibabu cha kimasai inaweza dumu hata nusu saa.
 
Inaelekea wewe uko obbsseesd
Inaelekea uko obbssessed tafuta dawa
 
Jf ni ndugu elimu hutolewa bure, inashangaza unajitangaza jf bila kulipia, watakaopigwa huko pm poleni.
Mwaga elimu hapa
Kama wew hili tatizo limekusumbua kwa mda mrefu na umetumia dawa zote hazijafanya kazi nitafte inbox au kwa namba hi WhatsApp+255769765512. Usipopata matokeo ndani ya siku 30 pesa yako inarudishwa
 
Nisaidie....kisaikolojia siko sawa...nina matatizo ya erectile dysfunction
Pole sna mkuu. Nenda hospitali upate tiba mujarabu ya vidonge. Kuna jamaa yangu alikuwa na tatizo kama hili alipata tiba, sasa hivi anapiga kazi kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…