Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Hahahahaha daaaah we jamaaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu ina maana wewe siku hiyo hukuwa na demu ulikuwa unamwaga kwa sauti za demu wa mwenzako? Hatari hiyo sheheeeee!!!
 
Mkuu umebainisha vyema kwa kuongezea kuna mambo yafuatayo:

1. Kuwa makini na baadhi ya aina ya vyakula...

2. Kukosekana kwa lugha ya aina moja ya kimapenzi baina ya mume na mke...

3. Mazingira ya eneo la mpambano na usafi wa mwanamke...
Upo sawa hasa namba 1na mfano unywaji wa kahawa unafyekelea mbali nguvu hii inategemea mwili wa mtu Na Pombe hii 2.lugha sio sana chukulia mfano mbakaji anaLugha gani lakini huwa kitu limesimama mithili ya chuma
 
nakumbuka #mshana Jr. aliwahi toa ushuri wa kutumia vitunguu saumu, BINAFSI I DISCOVER A LOT jamani tutumie vitunguu saumu vitakukomboa kutoka kwenye aibu, kula vitungu saumu miezi 3 utaona, mimi sas hivi nina miezi 6, ni kama dawa kwangu, every 9t nabugia punje 4 au 3.
 
Kwa mtu aliye na preasure ya kushuka akila ndio kwa heri .. maana vitunguu swaumu vina kazi nyingi mwili moja wapo ni kushusha preasure ..... Unapaswa kutumia kwa uangalifu
 
Alafu wanaume tumezidi kuingia tu kwenye mkumbo wa matumizi mabovu ya madawa ya kuongeza bila hata ya kujua kama tuna matatizo.Big up bro elimu kama hizi ziendelee kutolewa ktk jamii .cha msingi tuzingatie lishe mazoezi mapumziko na kuepuka stress
 
NAONA WENGI WANAENDA KWENYE MARATHON SIJUI NDIYO WANAITIKA WITO WA KUIMARISHA AFYA AU WITO KUANGALIA FURSA ZA WALIOJIKATIA TAMAA NA WENYE TAMAA KATIKA MAHUSIANO..........................................KILA MTU ANA MACHO ANGALIA HIZO MARATHON
 
Hivi hakuna upungufu wa nguvu za kike? Kila siku nasikia tu upungufu wa nguvu za kiume!!upande wa pili vipi?
 
mimi ni mvulana miaka 17 ninaombeni msaada wenu kwasababu nilikuwa nafanya masturbation bila kujua madhara take sasa naona kama kuna mabadiliko katika mwili wangu uume umelegeea na mawazo mengi samahanini sana ninaombeni msaada wenu
Umeingia chaputa mwaka mmoja na nusu unahitaji tiba🤣watu tuna Miongo uku
 
Hivi hakuna upungufu wa nguvu za kike? Kila siku nasikia tu upungufu wa nguvu za kiume!!upande wa pili vipi?
wanawake wao ni fixed account... yai moja per month wakifika 45 hawatoi tena...
 
thanx bro, uzi mzuri
 
Hausimami hata kama ukiangalia pornography au hataukiwa na mwanamke chumbani?

Au unamanisha kutosimama asubuhi ukiamka?

Fafanua tuone tatizo
Kusimamisha asubuhi ni dalili njema ya kwamb jogoo anawika vyema[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…