Suluhisho: Wanandoa Wanapochokana (Sex Rut)

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
35,012
Reaction score
70,201
Kuna uzi huu

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1458539/

Usibonyeze link kama hauna access na JLW.

Nimelikuta hili swali kule mafichoni, lakini sijaona vyema kujibia kule kwa sababu kwanza mleta uzi ndiyo kwanza namuona kule hivyo inawezekana kabisa hana access ya kule. Lakini nataka tupate maoni ya wengi zaidi.

Mimi sijaoa, nitakachoandika hapa ni masomo ya darasani na field practical tu. Wenye hands on experience wataongeza.
Nitakua naandika kidogo kidogo ili nisiwachoshe maana ni kitu kirefu kidogo.

Baada ya kuoana kuna muda ukifika 'spark' iliyokuepo kati ya mke na mume hupungua au huzima kabisa. Hii hupelekea mawasiliano kua hafifu kati ya wanandoa kisha hupelekea ngono kukosa mvuto kati ya wanandoa.

Kufikia hapa ngono hufanywa kama sehemu tu ya kutimiza wajibu na siyo kama tendo lililosababisha utege kwenda kazini au uwahi kurudi nyumbani. Katika hatua hii ndiyo hutokea kitu kinaitwa 'Sex Rut'.

Ule mguso unapotea, hapa haijalishi unajiamini una utundu kama mcheza porn maarufu kabisa duniani au una mwili mzuri kama the sexiest person you can think of. Ni kwamba nature imechukua nafasi yake na spark kwenu ndiyo imeshakata.

Wanaume wana asilimia kubwa za kuchepuka wakati wowote, mahusiano yawe na furaha yawe na huzuni atachepuka tu. Ila ikifika hapa ndiyo anaweza kuongea na kimada huku mkewe yuko pembeni na haogopi.

Katika kipindi hichi hichi team fisi ndiyo wanatwaa mke wa mtu kiulainiiiiii simply kwakua mwanamke anapenda kusikilizwa (kuonyeshwa anasikilizwa).

Baadhi ya watu wameshafika hatua hiyo wengine ndiyo wanaelekea huko. Kwa ambao hawajafika ngoja tuone kinachopelekea uhamaji wa hisia, kutoka 'Mtu uliyempenda zaidi duniani' mpaka kua 'Hili nalo linanipigia simu linasemaje?? Aaah usumbufu tu'
 
Hiyo kitu ipo sana na almost kila ndoa ina hii situation/circumstation
 
ngoja nisome comments za wadau

ila kula mboga ya aina moja kila siku inachosha mkuu
 
100% ukweli ila wahanga ni wanawake na hapa ndo ngoma inapopiga hodiiiiii
 
Kabisa yaani ni kama vile hicho kitu ni lazima kitokee
Mvuto hupotea mkishafika annivesary ya mwanzo tu.
Kama ndio huwa hampeani likizo daily mnalala pamoja hapo mapema mno mnakinai!
Hata mwanamke awe rihanna utamchoka sana.watu nje wanakusifia mme/mke wako mzuri sana!we ukigeuka kumchek huoni uzuri uko wapi
 
Tatizo ni kuishi kwa mazoea.. mambo yale yale daily. Ni vema kutoana out walau hata mara moja moja ili kubadilisha mazingira.
 
NAENDELEA

Ukiniuliza mimi nini hupelekea wanandoa kufikia hapo. Nitajibu kua wamekosea kwenye Uaminifu na Mawasiliano Rafiki.

Kupitia kuaminiana na mawasiliano rafiki ndiyo mwanamke anaweza kumwambia mwanaume "Tangu tuanze kufanya tendo huu ni mwaka wa nne na sijawahi kufika kileleni tunafanyeje?" Na mwanaume asianze kujiwazisha kua mke wangu ameanza kutoka nje au mke wangu marafiki zake wanamharibu.

Kuna baadhi ya mahusiano Mume hajawahi na hawezi kumwambia mkewe (samahani) 'Mke wangu tut01mbane' Mume ataongea lugha za kuficha ficha na wote tunajua hizo lugha hazisisimui na hazishtui.
Kuna mahusiano mengine haijawahi kutokea mwanamke akamwambia mwanaume 'Nataka tut01mbane' mwanaume akikaa kimya hata miezi minne yeye yupo tu hana habari.

Vitu vingine ni vidogo vidogo lakini vina mchango katika kudumaza na hatimaye kuua mahusiano ya watu kwa mfano,

-Kuzoeleka na kukaririwa kwenye namna yako ya kusex na kuanzishha tendo. Mwanamke anajua mume atamshika chuchu, atapeleka mkono kiunoni, lips sikioni, atashuka shingoni.
Atamnyonya chuchu, kitovu, kisha qummer halafu gemu linaanza. Tangu wajuane mpaka leo ni routine hiyo hiyo.

-Kuzoeleka eneo la tendo. Tunajua kunakua na kama notion ya 'Ngono ni kitandani' lakini hapana, kuna maeneo mengine mnaweza kufanya, mnaweza kukodi chumba, mkafanyia nje, mkafanyia baharini, kokote ambapo mnaweza kutii kiu na iwe hivyo siyo mpaka mfike nyumbani.

-Kutojaribu vitu vipya.
Kati ya mwanaume na mwanamke mwanaume hua excited na vitu vipya kuliko mwanaume. Ndiyo maana mwanaume akihadithiwa kuhusu anal sex atakua radhi kujaribu kuliko hata mwanamke.
Hivyo kila mmoja ajitahidi kukeep up na mwenzie introduce new things on bed. Isiwe lazima kua tendo lazima liishie kwa vikojoleo kukutana wakati mwingine vinywa vyetu vinaweza kufanya kazi kubwa kuliko kupigiana kelele.

-Gubu
-Ubishi
-Ujuaji kila kitu
--Usiri
--Kutosikiliza ushauri

-Pretty much anything kitakachoua mawasiliano rafiki baina ya mwenza na mwenza.
 
Kuna vitu vinasababisha ndoa iwe imara lakini ndiyo huwezi kuvidhania.

Mfano kuchepuka, mtu anaenda anatoa steam yake akirudi ndani katulia na anacheka na mwenza wake vizuri tu.

NB. Sishauri uchepukaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…