SULUHISHO: Wenye pesa ila hawajui wazifanyie nini

SULUHISHO: Wenye pesa ila hawajui wazifanyie nini

ligalu16

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
94
Reaction score
21
Habari wadau wa jf.
Mimi ni mgeni hapa mjengoni na hii ni post yangu ya kwanza. Nimefurahishwa na utaratibu wa wadau wa jf wa kupeana mawazo na ushauri katika nyanja mbalimbali za maisha ili kuendeleza gurudumu hili hapa duniani. Mimi nimekua nikiwaandalia watu(business people/academicians etc) business plans/research proposals kwa muda mrefu na wengi wao wamefanikiwa na mifano hai ipo. Kwa kupitia safu hii nikaamua nije na wazo hili tushare kidogo. Naamini kuna watu wana uwezo wa pesa ila wanashindwa au hawajui wazifanyie nini?hawajui watamanage vipi biashara zao wakizifungua. Tofauti kati yangu na writters wengine wengi ni kwamba mimi ninampa mteja wangu wazo la business according to her/his pocket na kumuelekeza how to manage it.
Nina B.A.statistics as well as Diploma in Statistics + business education, with lot of experience in this field and research. Nipo ubungo,0714143040 or fednga@yahoo.com
Naomba kuwakilisha
 
Umeingia mjengoni leo hii na leo leo post yako ya kwanza umeshusha Tangazo la kujifagilia . Mzee Unajua kuzisaka. Karibu JF.
 
Umeingia mjengoni leo hii na leo leo post yako ya kwanza umeshusha Tangazo la kujifagilia . Mzee Unajua kuzisaka. Karibu JF.

Hapana kaka sijaingia leo, ila kupost ndio leo post yangu ya kwanza nilikua nasoma za wadau walionitangulia. Thanks kaka
 
Umeingia mjengoni leo hii na leo leo post yako ya kwanza umeshusha Tangazo la kujifagilia . Mzee Unajua kuzisaka. Karibu JF.

Hapana ndugu sijaingia leo, ila kupost ndio leo hiii ndio post yangu ya kwanza nilikua nasoma za wadau walionitangulia. Thanks kaka
 
karibu sana mkuu...wazo lako ni zuri na nina amini sana katika kuwa na vyanzo vingi vya mapato tatizo ni ushauri au mtu wa kukuonesha wapi pa kupita...
anyway ntakutafuta binafsi.........
 
naomba uweke hapa mafanikio ya moja ya business plan uliyotayarisha

je iliweza ku-secure mkopo? je biashara inaendelea profitably?
 
karibu sana mkuu...wazo lako ni zuri na nina amini sana katika kuwa na vyanzo vingi vya mapato tatizo ni ushauri au mtu wa kukuonesha wapi pa kupita...
anyway ntakutafuta binafsi.........

Ok ndugu yangu hizo ndizo changamoto ninazopitia....
 
tuko pamoja ktk field! hope ulishaiwahi kuipitia yangu, coz I do also the same but with additions!
 
tuko pamoja ktk field! hope ulishaiwahi kuipitia yangu, coz I do also the same but with additions!

Yeah, niliipitia ndio maana nikashawishika na mm kujitokeza si unajua ss graduates we got alot of challenges ili maisha yasong, poa
 
Yeah, niliipitia ndio maana nikashawishika na mm kujitokeza si unajua ss graduates we got alot of challenges ili maisha yasong, poa

Safi sana na hongera!! keep it up, sometimes if you are determined it pays!
 
Back
Top Bottom