greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama.
Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda mwingi umetumika kujadili changamoto kuliko kuweka mawazo ambayo yatatatua changamoto hizo.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupendekeza suluhu ya changamoto zilizopo.
Nami ntaanza kwa kupendekeza mambo kadhaa yenye kuleta suluhu.
1.UTAMBUZI WA TANGANYIKA
= > Waliohoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wafikia hatua gani?
= > Yajue mambo 22 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
= > Tanganyika ni lazima iendelee kuungana na Zanzibar?
= > Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
= > Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
= > Tuna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tu, siyo Tanzania
= > Tuna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tu, siyo Tanzania
Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda mwingi umetumika kujadili changamoto kuliko kuweka mawazo ambayo yatatatua changamoto hizo.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupendekeza suluhu ya changamoto zilizopo.
Nami ntaanza kwa kupendekeza mambo kadhaa yenye kuleta suluhu.
1.UTAMBUZI WA TANGANYIKA
- Nchi ya Tanganyika itambulike na kutamkwa kwenye katiba, na uwepo wake uishie kwenye masuala yasiyo ya muungano
- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndiyo atakayesimamia masuala ya Tanganyika
- Cheo cha makam wa Rais wa Jamhuri kitashikwa na Mtanganyika tu.
- Nafasi zote za mawaziri katika wizara za mambo yasiyo ya muungano zishikwe na Watanganyika tu.
- Bunge la Jamhuri ndiyo litakuwa bunge linaloamua mambo ya Tanganyika
- Idadi ya Bunge ya Zanzibar ibaki hivyo hivyo
- Kwenye mijadala ya mambo yasiyo ya muungano ,wabunge wa Zanzibar wataruhusiwa kuchangia tu.
- Wabunge kutoka Zanzibar hawataruhusiwa kupiga kura kwenye mambo ambayo si ya muungano.
- Kutakuwa na ardhi ya Jamhuri na Ardhi ya Tanganyika na Zanzibar
- Ardhi yote ambayo kuna Majengo ya Serikali ya Jamhuri, itakuwa ni ardhi ya Jamhuri
- Ardhi yote yenye miundombinu ya mambo ya muungano,itakuwa ardhi ya Jamhuri....mf.Kambi za kesho,vyuo vikuu,vituo vya polisi,Mbuga za Taifa
- Kila nchi itatenga 25% ya eneo la ardhi yake kwa ajili ya Jamhuri,utumizi wa wananchi wa pande zote mbili.
- Nje ya 25 % kwa Bara,Mzanzibar hatoruhusiwa kumiliki eneo
- Nje ya 25% kwa Zanzibar,Mtanganyika hatoruhusiwa kumiliki eneo.
- Uraia wa kwanza wenye nguvu ni wa utanzania
- Uraia wa Zanzibar na Tanganyika utasaidia kwenye masuala yasiyo ya muungano tu.
- Mtu hatohitaji kitambulisho cha aina yoyote kwenda kokote nchini, iwe Zanzibar au Tanganyika.
ZAIDI UNASHAURIWA KUSOMA MADA HIZI:
= > Lipo wapi tatizo kwenye muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Tafakari!= > Waliohoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wafikia hatua gani?