Suluhu Inahitajika: Kwa mchepuko fresh, kwa wife dolo

choba

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
117
Reaction score
18
Wana JF,

Kuna mjadala umetokea sehemu nikaona huenda kuna ufumbuzi humu ndani ya Jukwaa letu. Ni hivi jamaa kachepuka. Akirudi kwa wife kitu kinalala, akienda kwa mchepuko mambo fresh. Hii ni nini? ni ushirikina au ni saikolojia? Hebu tudadavue kuweka mambo fresh. Nini suluhu ya hii kitu?

Choba
 
saikologia tu...
ukiwa huru sana na mchepuko unasaau home
 
Wana JF,

Kuna mjadala umetokea sehemu nikaona huenda kuna ufumbuzi humu ndani ya Jukwaa letu. Ni hivi jamaa kachepuka. Akirudi kwa wife kitu kinalala, akienda kwa mchepuko mambo fresh. Hii ni nini? ni ushirikina au ni saikolojia? Hebu tudadavue kuweka mambo fresh. Nini suluhu ya hii kitu?

Choba
KAROGWA NA MCHEPUKO NO DISCUSSION
 
Wana JF,

Kuna mjadala umetokea sehemu nikaona huenda kuna ufumbuzi humu ndani ya Jukwaa letu. Ni hivi jamaa kachepuka. Akirudi kwa wife kitu kinalala, akienda kwa mchepuko mambo fresh. Hii ni nini? ni ushirikina au ni saikolojia? Hebu tudadavue kuweka mambo fresh. Nini suluhu ya hii kitu?

Choba
Pole yake
Hiyo haina dawa
 
Ajiandae kuchapiwa kwa sababu mkewe naye hatakubali kukaa na utamu kama muwa mpaka afe nao
 
Back
Top Bottom