Hii hataree sana ...huenda ameonja radha tofauti na juhudi za mchepuko kuhamasishaUshirikina huo, ili aendelee na michepuko ahame kwa mkewe
Huyo michezo itakuwepo watu huficha tu, mchepuko nao unampenda awe wake, faida ya uzinzi sasa aoe mchepukoHii hataree sana ...huenda ameonja radha tofauti na juhudi za mchepuko kuhamasisha
KAROGWA NA MCHEPUKO NO DISCUSSIONWana JF,
Kuna mjadala umetokea sehemu nikaona huenda kuna ufumbuzi humu ndani ya Jukwaa letu. Ni hivi jamaa kachepuka. Akirudi kwa wife kitu kinalala, akienda kwa mchepuko mambo fresh. Hii ni nini? ni ushirikina au ni saikolojia? Hebu tudadavue kuweka mambo fresh. Nini suluhu ya hii kitu?
Choba
Stuka MROGO HUO CHOBA!
Tatizo limekuanza lini mkuukurogwa.. makubwa jamani..
suluhu ni ipi sasa?
Pole yakeWana JF,
Kuna mjadala umetokea sehemu nikaona huenda kuna ufumbuzi humu ndani ya Jukwaa letu. Ni hivi jamaa kachepuka. Akirudi kwa wife kitu kinalala, akienda kwa mchepuko mambo fresh. Hii ni nini? ni ushirikina au ni saikolojia? Hebu tudadavue kuweka mambo fresh. Nini suluhu ya hii kitu?
Choba
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwahiyo aendelee na michepukoPole yake
Hiyo haina dawa
Halafu kwa mkewe awe analala doro lakini kwa mchepuko kama kawaida[emoji23] [emoji23] [emoji23]si vibaya ukamuongea mchepuko kama mke
Ndio hiyvo unafikri ataponea wap[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwahiyo aendelee na michepuko
More explanation pleaseKuna tiba Aina 2
1 utaifanya mwenyewe
2.ataifanya Mama MZAZI
Nawe una tatizo Hilo mkuu?More explanation please
Hapana, kuna rafiki yangu tupo shule ya msingi (baada ya kuhitimu) alikuwa na mahusiano na kabinti kamoja walipoachana jongoo alikuwa hapandi mtungi. Jamaa nimepotezana nae kitambo sana TBT 2005Nawe una tatizo Hilo mkuu?