Umutimbaru
Member
- Jul 22, 2011
- 91
- 5
Matokeo mabaya ya kidatu cha nne yangelipunguzwa kama ile sera ya mitihani ya kidatu cha pili ingeiiimarishwa na kuzingatiwa. Mtihani wa kidato cha pili unawafanya watoto kujiandaa vyema kuvuka daraja la maandalizi ya kufanya mtihani wa kidato cha nne.
Mtihani huo ukizingatiwa kiasi kwamba wale ambao hawajafaulu wasivuke kwenda kidato cha tatu matikeo ya kidatu cha nne yatakuwa na uafadhali.
Kama utaratibu huu uliopo wa kujaza madarasa bila kuzingatia sifa utaendelea, matokeo ya kuwa na zero nyingi mwisho wa mwaka utakuepo TU
Sera ya mitihani ya kidato cha pili ingawa imerudi, iboreshwe ili wavukao kwenda kidato cha tatu wawe wazuri, hivyo hivyo kwa mtihani darasa la nne.