Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani. Sahau hiyo kitu.Wako tayari kuacha ukabila?
Hakuna mauaji wala mjombake mauaji babu akalee wajukuu. Ruto ajenge nchi hakuna room ya walafi kula keki ya nchi eti serikali ya umoja ni upuuzi mtupu.Wadau ili kuepusha Mauaji ya Raia na Upotevu wa Mali zao ni RUTO KUKUBALI Kuunda SERIKALI ya Umoja wa KITAIFA Kinyume chake ILE KESI ya ICC itaanza tena.