Wadau ili kuepusha Mauaji ya Raia na Upotevu wa Mali zao ni RUTO KUKUBALI Kuunda SERIKALI ya Umoja wa KITAIFA Kinyume chake ILE KESI ya ICC itaanza tena.

Hakuna mauaji wala mjombake mauaji babu akalee wajukuu. Ruto ajenge nchi hakuna room ya walafi kula keki ya nchi eti serikali ya umoja ni upuuzi mtupu.