Kamende
JF-Expert Member
- Mar 1, 2008
- 416
- 45
Ninajua ukweli kuwa kila mtu mstaarabu anatafuta namna ya ama kuondoa kabisa au kupunguza matatizo ya nchi hii ya Tanzania. Hili ni jukumu letu kila mmoja na kwa pamoja.
Kwa ajili yangu na kwa wengine wenye nia kamilifu ya kuikomboa nchi ya Tanzania ni lazima tutoe kina cha matatizo ya nchi na hatimaye tuweze kutoa pendekezo la namna ya kutatua matatizo ya nchi yetu.
Historia inaonyesha wazi kuwa ukubwa wa matatizo ya nchi ya Tanzania unatokana na aina ya siasa zake. Siasa za Tanzania zimetengenezwa na CCM kwa ajili ya wafuasi na wanufaikaji walioko ndani ya chama hicho.
Ninapenda kusema wazi kuwa kwa kuwa CCM ndio mhimili wa mfumo wa uovu Tanzania basi namna pekee ya uhakika ya kuondoa matatizo ya Tanzania ni kuifutilia mbali CCM. Ndoto zozote za kuikomboa Tanzania kwa kuirekebisha na kuikosoa CCM hazitafanikiwa kamwe.
I stand to be corrected!!!