zunya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 1,529
- 1,068
Tangu kampuni ya ulinzi ya SUMA JKT itolewe kufanya kazi Kigamboni Ferry, kumekuwa na usumbufu mkubwa na sina shaka kukosekana kwa mapato kutokana na mfumo mbovu wa hii kampuni binafsi ya ulinzi iliyopewa kazi iyo.
Nmeshuhudia mara kadhaa wakielemewa na kazi za pale, watu hawafuati utaratibu wa kuingia na ku-scan tiketi! Leo asubuhi naamin watu karibia nusu ya waliopanda panton hawaja-scan kadi zao.
Kwa mwendo huu, tutakuja kusikia tu mapato yameshuka na kivuko kimeshindwa kujiendesha kibinafsishwe kwa watu, hapo sasa ndio dhahama itakapoanza, utasikia nauli imepanda toka 200 hafi 1,000 kuvuka! Wasiwasi nayo ni akili babu.
Kwanza hii kampuni sijui hata wameipaje tenda, maana kuna wengine pale hawana hata buti! Dah, nchi ngumu hii!