Suma JKT walifanyiwa auditing na CAG?

Suma JKT walifanyiwa auditing na CAG?

Nadhani sio report nyeti.Report nyeti ni zile Classified Reports,sidhani kazi za Suma JKT za kujenga mabweni ya vyuo au kujenga ukuta wa Merelani ni Classified.

Ila kujenga Ikulu ya Chamwino yaweza ikawa Classified.
 
report inahitajika maana wanaiingizia nchi faida
 
Ivi Ile ikulu ilijenhwa Kwa ramani ya kisasa au ndyo mawazo ya mtu mmoja yalihalalisha ujenzi
 
Back
Top Bottom