Sumaku Zinauzwa Wapi?


Thanks sun wu! Khs perpetual motion mm niko interested sana na hii idea, na huwa ninaifuatilia kwa undani; so I'm aware of the disappointments and discouragements some people have faced. It pays to think outside the box rather than confining ourselves to the so-called scientific theories. Anyway, ulishajaribu ukafikia hatua fulani ukakwama? Have you ever read about what's going on in Area 51 in the US?
 
Last edited by a moderator:



Thanks sun wu! Bado sijafanikiwa kupata magnets. Yeah, nilisoma khs shielding materials, and my theory lies somehow in what you've described.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu na mimi kama wewe ni mtu wa kufatilia sana haya mambo (you can say am a seeker of knowledge) na huwa napenda sana kuangalia different documentaries na kusoma different issues

Sasa kuhusu hizi mashine ni kweli watu wameanza tangia karne kutaka kutengeneza hiki kitu na kuwekea patent nyingi sana kwenye hili jambo na wengi wamekuja na vitu kama overbalanced wheels; buoyancy; na use of magnets na mara nyingi anything mechanical ni kwamba mwisho wa siku friction always kicks in na mashine inasimama au unakuta mtambo unashindwa kufanya any usable work (yaani ukiweka load tu inasimama)

Sasa tukija kwenye magnets ndio maana nikasema labda tutafanikiwa kama ugunduzi wa material fulani ukipatikana (ambao sasa hivi haupo) mfano magnetic shield yaani hii material isiweze kupitisha magnetic force na iwe nyembamba sana yaani mfano ukiweka three magnets moja katikati na mbili mwishoni in such a way hii magnet inakuwa attracted in both ends lakini hata ikivutwa inakuwa haigusi the magnet at the end.... kwahio utaona kwamba ugunduzi wa a magnetic shield ukipatikana na hii ikawa inawekwa between a magnet at one side na kuondolewa kutakuwa na some movement ambayo inaweza kuchukuliwa na kufanya kazi...

Ila utaona mpaka hapo tutakapogundua a new material sababu mpaka sasa all the works using magnets ime-prove very hard sababu mwisho wa siku hii magnet huwa inatafuta a position of equilibrium na kubakia hapo hapo.

Apart from magnets wengi mara nyingi watu wamejaribu kuja na un-balanced wheel as well lakini na hii improve futile up to now.., mfano ni huo hapo chini



Kwahio mkuu nachoweza kusema ni kwamba hii quest ya hizi mashine maybe itafanikiwa one day lakini this will depend a lot na uvumbuzi fulani wa a certain material.., maybe kwa sasa tunachoweza kufanya ni kuongeza efficient maybe kuhakikisha tunapata more from solar system au kutap energy from environment na kuitumia efficiently (mfano kuna energy kubwa sana ukibreak water (H2O) katika Hydrogen na Oxygen kunatoa energy kubwa sana ila mpaka sasa energy kubwa inatuma kuvinja hii kitu kuliko kinayotoka

Hence sio vibaya kuendelea kufanya research kuhusu hii kitu sababu ukifanikiwa Nobel Prize itakuwa yako mkuu na utajiri wa kufa mtu..
 
Nimevutiwa kujifunza kuhusu Sumaku na uvumbuzi unaoweza kutokea kwa kutumia Sumaku.
Nina mambo nayafikiria kuhusu sumaku sijui yanawezekana.

Maana nimeona zinahitajika hesabu kali ili yatimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…