Sumalee afiwa na mama ake mzazi

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
Msanii na mkali wa wimbo wa hakunaga Sumalee Amefiwa na Mama ake mzazi:
pole sana suma
&
R.I.P Bi.Hindu
source:
Ukurasa wa Facebook wa EATV
 
Pole sn sumalee, yote ni mapenzi ya mungu na sisi sote ni marehem watarajiwa, kazi ya mungu haina makosa. R.I.P BI HINDU.
 
daaah! yani kaimba hakunaga tu? anyway R.I.P mama sumalee
 
kwani bi hindu ndo mama yake sumalee?
 
pole sana sumalee kwa kuondokewa na mama ... jipe moyo yote ni mipango ya mungu
 
Pole sumaLee! R.I.P mama Suma

Naona mwasema mamake ni bi Hindu, ni bi Hindu huyu wa maigizo au?
 
Pole sumaLee! R.I.P mama Suma

Naona mwasema mamake ni bi Hindu, ni bi Hindu huyu wa maigizo au?

Nami hilo jina la Bi Hindu limenistua. Pole Sumalee. RIP Bi Hindu.
 
pole Suma lee.
R.I.P bi mkubwa.
 
Pole sana sumalee mungu akutie nguvu za kuhimili huzuni ya kuondokewa na mzazi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…