it's real boaring kwa SUMATRA wa Dar yani daladal zinajipangia nauli tu ovyo ovyo na wako kimya mfano mdogo ni makumbusho gongolamboto
gongolamboto mawasiliano
gongolamboto kariakoo
gongolamboto tandika
izi route nimeziexperience wanajipangia nauli tupeni mwelekezo nauli ni shs ngapi
au mtuletee mwendokasi nauli iwe standard
Mkuu hiyo hawaifuatiNauli huwa imeandikwa karibu na mlango wa kuingilia mbele, ni sheria ya Sumatra.
issue inakuja pale unapotoa hela yakurudishiwa change ndo unajua nauli imepandaHii haihitaji SUMATRA.
Panda gari lipa nauli inayohitajika alafu subiri tuone atakupeleka wapi.
kwa nini route zote nauli isiwe standard at list mngekuwa na mambo ya premier class na economy classNauli huwa imeandikwa karibu na mlango wa kuingilia mbele, ni sheria ya Sumatra.
Mimi nilisha kataa ushenzi huuh..!Mkuu hiyo hawaifuati
Mfano route ya Ubungo-Mbezi ni 400 lakini wanatoza 500, ukiwapa 400 wanaanza kuleta zogo
kwa hiyo we unaogopa zogo, mtu mzima unakuaje muoga. lipa nauli kulingana na ilivyoandikwa kwenye ticket,ubavuni mwa gari na iwe sahihi kulingana na nauli walizopangiwa na sumatra mkoaMkuu hiyo hawaifuati
Mfano route ya Ubungo-Mbezi ni 400 lakini wanatoza 500, ukiwapa 400 wanaanza kuleta zogo
Mkuu kuna wengine wanazingua sana.ngoja niwape maelezo kulingana na uzoefu wangu wa route ya gongolamboto -k/koo na ubungo/mawasiliano.
GONGOLAMBOTO TO K/KOO nauli ni sh.450/=
lakini mara nyingi chenji ya shilingi 50/= huwa inasumbua konda anaweza kukuomba kuwa hana hamsini kistaarabu unamuachia ila sio kwamba konda atalazimisha. mara nyingi watu hukatwa sh 500/= kutokana na ukosefu wa chenji ila kama una 450/= mpe hiyohiyo au toa mia tano halafu mwambie akurudishie 50/= yako akikataa hapo ndo patamu unamuanzishia vagi tu mpaka akupe 50/= yako
GONGOLAMBOTO TO UBUNGO/MAWASILIANO.
daladala hizi hupita njia mbili tofauti yaani
1.kuna zinatotoka gongolamboto hadi ubungo/mawasiliano via buguruni nauli 500
2.kuna zinatoka gongolamboto hadi ubungo/mawasiliano via t/segerea nauli 600
muhimu kabla hujapanda daladala jiridhishe kwanza na nauli iliyoandikwa ubavuni mwa gari sio kukimbilia siti utadhani utazikwa nayo.