SUMATRA:Kukamata mmiliki wa chombo sheria ikoje?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
kukitokea ajali ya chombo cha majini,mmiliki hukamatwa,lakini bus au lori likiua mmiliki hakamatwi hii imekaaje?
 
Nao huwa wanakamatwa unakumbuka Air Msae kama sikosei alikamatwa na bus lingine pia alikamatwa!

Ila huwa kuna double standard maana nakumbuka Sumri liliua kila mwezi mara 2 na mwenyewe hata hakuulizwa!
 
Hiyo ni Tort mnaweza kufungua madai kwa pamoja au individual na unalipwa vizuri tu ikithibitika ajali ilisababishwa kwa uzembe sema watanzania wengi hawajui haki zao na serikali haifanyi bidii kuwaelimisha cz wataua sector kwa claims na sector hizo ndo walipa kodi kwa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…