sumatra-Madereva wa usafiri wa umma kikomo miaka 30-60

sumatra-Madereva wa usafiri wa umma kikomo miaka 30-60

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
3,294
Reaction score
4,920
Mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu inajiandaa kuleta hoja kwa wadau kuwa umri wa wanaoongoza vyombo vya usafiri wa umma kwa nchi kavu(magari ya abiria) na majini(meli/boti za abiria) uwe kati ya miaka 30 hadi 60 (inclusive)

=======
hoja kama hizi kwa upande wangu ni zile za watu wanaoshauriwa na wake zao kisha asubuhi wanaibuka nazo ofisini. Hivi vichwa vyote pale Sumatra vinakaa na kujadili utumbo kama huu na kuufanya ajenda ya kulipana posho!!!!!

mawazo yenu hapa tafadhali
 
Back
Top Bottom